bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
/
Ezra 2
Ezra 2
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 3 →
1
Basi hawa ndio watu wa jimbo, waliotoka uhamishoni ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirejea Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake,
2
wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana): Orodha ya watu wa Israeli ilikuwa:
3
wazao wa Paroshi — 2,172
4
wa Shefatia — 372
5
wa Ara — 775
6
wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) — 2,812
7
wa Elamu — 1,254
8
wa Zatu — 945
9
wa Zaka — 760
10
wa Bani — 642
11
wa Bebai — 623
12
wa Azgadi — 1,222
13
wa Adonikamu — 666
14
wa Bigwai — 2,056
15
wa Adini — 454
16
wa Ateri (kwa Hezekia) — 98
17
wa Besai — 323
18
wa Yora — 112
19
wa Hashumu — 223
20
wa Gibari — 95
21
watu wa Bethlehemu — 123
22
wa Netofa — 56
23
wa Anathothi — 128
24
wa Azmawethi — 42
25
wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi — 743
26
wa Rama na Geba — 621
27
wa Mikmashi — 122
28
wa Betheli na Ai — 223
29
wa Nebo — 52
30
wa Magbishi — 156
31
wa Elamu ile ingine — 1,254
32
wa Harimu — 320
33
wa Lodi, Hadidi na Ono — 725
34
wa Yeriko — 345
35
wa Senaa — 3,630
36
Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) — 973
37
wa Imeri — 1,052
38
wa Pashuri — 1,247
39
wa Harimu — 1,017
40
Walawi: Wazao wa Yeshua na Kadmieli (wa jamaa ya Hodavia) — 74
41
Waimbaji: Wazao wa Asafu — 128
42
Mabawabu wa lango la Hekalu: Wazao waShalumu, Ateri, Talmoni,Akubu, Hatita na Shobai — 139
43
Wanethini: wazao wa Siha, Hasufa, tabaothi,
44
Kerosi, Siaha, Padoni,
45
Lebana, Hagaba, Akubu,
46
Hagabu, Shalmai, Hanani,
47
Gideli, Gahari, Reaya,
48
Resini, Nekoda, Gazamu,
49
Uza, Pasea, Besai,
50
Asna, Meunimu, Nefusimu,
51
Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
52
Basluthi, Mehida, Harsha,
53
Barkosi, Sisera, Tema,
54
Nesia na Hatifa.
55
Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda,
56
Yaala, Darkoni, Gideli,
57
Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami.
58
Wanethini nawazao wa watumishiwa Solomoni — 392
59
Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuonyesha ya kuwa jamaa zao zilitokana na uzao wa Israeli:
60
Wazao waDelaya, Tobia na Nekoda — 652
61
Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (ambaye alikuwa ameoa binti wa Barzilai Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo.)
62
Hawa walitafuta orodha ya jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kwenye kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.
63
Mtawala aliwaagiza wasile chakula cho chote kitakatifu mpaka awepo kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.
64
Kundi lote lilikuwa na watu 42,360;
65
pamoja na hao kulikuwapo na watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwapo waimbaji wanaume na wanawake 200.
66
Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245,
67
ngamia 435 na punda 6,720.
68
Walipofika kwenye nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika lile eneo lake.
69
Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000 za dhahabu, mane 5,000 za fedha na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hii.
70
Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na Wanethini waliishi mijini mwao, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi kwenye miji yao.
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 3 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10