bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
/
Joshua 16
Joshua 16
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
← Chapter 15
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 17 →
1
Mgawanyo wa Yosefu ulianzia Yordani ya Yeriko, mashariki mwa miji ya Yeriko na kutoka hapo ulipanda kupitia jangwani na kuingia katika nchi ya vilima ya Betheli.
2
Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia nchi ya Waariki huko Atarothi,
3
ukatelemkia kuelekea magharibi hadi nchi ya Wayafleti mpaka sehemu ya Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini.
4
Kwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yosefu, walipokea urithi wao.
5
Hii ndiyo iliyokuwa nchi ya Efraimu, ukoo kwa ukoo: Mpaka wa urithi wao ulianzia Atarothi Adari upande wa mashariki hadi Beth-Horoni ya Juu,
6
na kuendelea mpaka baharini. Kutoka Mikmethathi upande wa kaskazini ulipinda kuelekea mashariki mpaka Taanath-Shilo, ukipitia Yanoa upande wa mashariki.
7
Kisha ulitelemkia kutoka Yanoa hadi Atarothi na Naara, ukagusa Yeriko na kutokea katika Mto Yordani.
8
Kutoka Tapua mpaka ulikwenda magharibi hadi Kijito cha Kana na kuishia baharini. Huu ulikuwa ndio urithi wa kabila la Waefraimu, ukoo kwa ukoo.
9
Pia ulijumuisha miji yote na vijiji vyake ambavyo vilitengwa kwa ajili ya Waefraimu ndani ya urithi wa kabila la Manase.
10
Hawakuwafukuza Wakanaani waishio Gezeri; mpaka leo Wakanaani wanaishi miongoni mwa watu wa Efraimu lakini wanatakiwa kufanya kazi ngumu za kulazimishwa.
← Chapter 15
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 17 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24