Psalms 52:10
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi nafanana na mchekele wenye majani mengi kwa kukaa Nyumbani mwake Mungu, kwani upole wa Mungu ndio, niliouegemea pasipo kukoma kale na kale.
Compare Psalms 52:10 across all translations →