Genesis 31
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
19Basi Labani alikuwa amekwenda kuwakata manyoya kondoo zake, na Raheli akaviiba vinyago vya babaye.
30Basi sasa, umetoka kwa sababu umetamani sana nyumba ya baba yako. Mbona basi umeiiba miungu yangu?