bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Joel 3
Joel 3
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
1
Kisha mambo hayo nitashusha Roho wangu juu ya watu wote. Watoto wenu wanaume na wabinti watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono.
2
Hata juu ya watumishi wanaume na wanawake, nitashusha Roho wangu wakati huo.
3
Nitafanya kitambulisho cha ajabu mbinguni na katika dunia; kutakuwa damu, moto na minara ya moshi.
4
Jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa kama damu, mbele ya kutimia kwa siku ya Yawe, siku inayokuwa kubwa na ya kutisha.
5
Halafu, watu wote watakaoomba kwa jina la Yawe wataokolewa. Katika mulima Sayuni na Yerusalema, kutakuwa watu watakaoponyoka, kama vile Yawe alivyosema: wale aliowachagua watabaki wazima.
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
All chapters:
1
2
3