Zechariah 2:15
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa mengi yatajiunga nami Yawe, nao watakuwa watu wangu; nami nitakaa kati yenu. Halafu mutajua kwamba Yawe wa majeshi ndiye aliyenituma kwenu.
Compare Zechariah 2:15 across all translations →