1 Chronicles 11
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
5wakamwambia Daudi, “Wewe hutaingia humu.” Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi.
9Daudi akazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi, kwa sababu BWANA Mwenye Nguvu Zote alikuwa pamoja naye.