Joshua 21
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
2wakawaambia: “Yawe alimwagiza Musa kwamba tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya nyama wetu.”
8Waisraeli wakawapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Yawe alivyomwagiza Musa.