Matthew 27
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
21Mtawala akawauliza tena, “Ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka niwafungulie?” Wakajibu, “Baraba.”
22Pilato akawaambia, “Basi nifanye nini na huyu Isa aitwaye Al-Masihi?” Wakajibu wote, “Msulubishe!”