bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Ezra 2
Ezra 2
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 3 →
1
Hawa ndio wana wa lile jimbo waliotoka katika kifungo cha kuhamishwa, aliowateka Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, na kuwahamisha kwenda Babeli, wakapanda kurudi Yerusalemu na Yuda, kile mtu mjini kwake.
2
Waliokuja na Zerubabeli ndio: Yesua, Nehemia, Seraya, Relaya, Mordekai, Bilsani, Misipari, Bigwai, Rehumu, Baana. Hesabu ya waume wa ukoo wa Isiraeli ni hii:
3
wana wa Parosi 2172;
4
wana wa Sefatia 372;
5
wana wa Ara 775;
6
wana wa Pahati-Moabu, ndio wana wa Yesua na wa Yoabu 2812;
7
wana wa Elamu 1254;
8
wana wa Zatu 945;
9
wana wa Zakai 760;
10
wana wa Bani 642;
11
wana wa Bebai 623;
12
wana wa Azgadi 1222;
13
wana wa Adonikamu 666;
14
wana wa Bigwai 2056;
15
wana wa Adini 454;
16
wana wa Ateri walio wa Hizikia 98;
17
wana wa Besai 323;
18
wana wa Yora 112;
19
wana wa Hasumu 223;
20
wana wa Gibari 95;
21
wana wa Beti-Lehemu 123;
22
waume wa Netofa 56;
23
waume wa Anatoti 128;
24
wana wa Azimaweti 42;
25
wana wa Kiriati-Arimu, wa Kefira na wa Beroti 743;
26
wana wa Rama na wa Geba 621;
27
waume wa Mikimasi 122;
28
waume wa Beteli na wa Ai 223;
29
wana wa Nebo 52;
30
wana wa Magibisi 156;
31
wana wa Elamu wa pili 1254;
32
wana wa Harimu 320;
33
wana wa Lodi na wa Hadidi na wa Ono 725;
34
wana wa Yeriko 345;
35
wana wa Senaa 3630.
36
Watambikaji walikuwa hawa: wana wa Yedaya wa mlango wa Yesua 973;
37
wana wa Imeri 1052;
38
wana wa Pashuri 1247;
39
wana wa Harimu 1017.
40
Walawi walikuwa hawa: wana wa Yesua na wa Kadimieli walio wa wana wa Hodawia 74.
41
Waimbaji walikuwa wana wa Asafu 128.
42
Wana wa walinda malango walikuwa wana wa Salumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Sobai, wote pamoja walikuwa 139.
43
Watumishi wa Nyumbani mwa Mungu walikuwa hawa: wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaoti,
44
wana wa Kerosi, wana wa Siaha, wana wa Padoni,
45
wana wa Lebana, wana wa Hagaba, wana wa Akubu
46
wana wa Hagabu, wana wa Samulai, wana wa Hanani,
47
wana wa Gideli, wana wa Gahari, wana wa Raya,
48
wana wa Resini, wana wa Nekoda, wana wa Gezamu,
49
wana wa Uza, wana wa Pasea, wana wa Besai,
50
wana wa Asina, wana wa Munimu, wana wa Nefisimu,
51
wana wa Bakibuki, wana wa Hakufa, wana wa Harihuri,
52
wana wa Basiluti, wana wa Mehida, wana wa Harsa,
53
wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema,
54
wana wa Nesia na wana wa Hatifa.
55
Wana wa watumwa wa Salomo walikuwa hawa: wana wa Sotai, wana wa Sofereti, wana wa Peruda,
56
wana wa Yala, wana wa Darkoni, wana wa Gideli,
57
wana wa Sefatia, wana wa Hatili, wana wa Pokereti-Hasebaimu, wana wa Ami.
58
Watumishi wa Nyumbani mwa Mungu na wana wa watumwa wa salomo wote pamoja walikuwa 392.
59
Nao hawa ndio waliopanda toka Teli-Mela na Teli-Harsa na Kerubu-Adani na Imeri, lakini hawakuweza kuijulisha milango ya baba zao, wala vizazi vyao, kama ndio Waisiraeli:
60
wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda; nao walikuwa watu 652.
61
Tena kwao watambikaji: wana wa Habaya, wana wa Hakosi, wana wa Barzilai aliyechukua mmoja wao binti Barzilai wa Gileadi, awe mkewe, kwa hiyo aliitwa kwa jina lao.
62
Hawa walikitafuta kitabu chao cha udugu wao, lakini hawakukiona, kwa hiyo wakakatazwa utambikaji.
63
Mtawala nchi akawaambia: Msile kabisa vyakula vitokavyo Patakatifu Penyewe, mpaka atakapoondokea mtambikaji mwenye Urimu na Tumimu (Mwanga na Kweli).
64
Huo mkutano wote pamoja walikuwa watu 42360,
65
pasipo watumwa na vijakazi wao, nao walikuwa 7337; tena walikuwako waimbaji wa kiume na wa kike 200.
66
Farasi wao walikuwa 736, nyumbu wao 245,
67
ngamia wao 435, tena punda 6720.
68
Walipofika penye Nyumba ya Bwana iliyokuwamo Yerusalemu, ndipo, wakuu wa milango walipoitolea wenyewe Nyumba ya Mungu vipaji vya kuijengea tena mahali hapo, ilipokuwa.
69
Kwa hiyo, walivyoweza, wakatoa vipaji vyao, wakavitia katika kilimbiko cha jengo: vipande vya dhahabu vilivyoitwa Dariko 61000, ndio shilingi kama milioni mbili na 440000 na vipande vya fedha vilivyoitwa Mane 5000, ndio shilingi kama milioni, na mavazi ya watambikaji 100.
70
Kisha watambikaji na Walawi, nao watu wengine na waimbaji na walinda malango nao watumishi wa Nyumbani mwa Mungu wakakaa katika miji yao, nao Waisiraeli wote wakakaa katika miji yao.
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 3 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10