bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Psalms 105
Psalms 105
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 104
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 106 →
1
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake; yajulisheni mataifa mambo aliyotenda!
2
Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu!
3
Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.
4
Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima.
5
Kumbukeni matendo ya ajabu aliyotenda, miujiza yake na hukumu alizotoa,
6
enyi wazawa wa Abrahamu mtumishi wake, enyi wazawa wa Yakobo, wateule wake;
7
Yeye ndiye Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; hukumu zake zina nguvu duniani kote.
8
Yeye hulishika agano lake milele, hutimiza ahadi zake kwa vizazi elfu.
9
Hushika agano alilofanya na Abrahamu, na ahadi aliyomwapia Isaka.
10
Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, alimhakikishia Israeli agano hilo la milele.
11
Alisema: “Nitawapeni nchi ya Kanaani, nayo itakuwa mali yenu wenyewe.”
12
Watu wa Mungu walikuwa wachache; hawakuwa maarufu, tena walikuwa wageni nchini Kanaani.
13
Walitangatanga kutoka taifa hadi taifa; kutoka nchi moja hadi nchi nyingine.
14
Lakini Mungu hakuruhusu mtu awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:
15
“Msiwaguse wateule wangu; msiwadhuru manabii wangu!”
16
Mungu alizusha njaa nchini mwao, akaharibu chakula chao chote.
17
Lakini aliwatangulizia mtu mmoja, Yosefu aliyekuwa ameuzwa utumwani.
18
Walimfunga miguu kwa minyororo, na shingoni kwa nira ya chuma,
19
Muda si muda alichotabiri kilitimia. neno la Mwenyezi-Mungu lilimdhibiti.
20
Mfalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mtawala wa mataifa akamwachilia huru.
21
Alimweka kuwa mkurugenzi wa serikali yake, na mkuu wa mali yake yote;
22
awaongoze maofisa wake apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima.
23
Ndipo Israeli akaingia nchini Misri; Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu.
24
Mwenyezi-Mungu akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko maadui zao.
25
Aliwafanya Wamisri wawachukie watu wake, wakawatendea hila watumishi wake.
26
Kisha akamtuma Mose mtumishi wake, akamtuma na Aroni mteule wake.
27
Wakafanya ishara za Mungu kati ya Wamisri, na miujiza katika nchi hiyo ya Hamu.
28
Mungu akaleta giza juu ya nchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake.
29
Akageuza mito yao kuwa damu, akawaua samaki wao wote.
30
Vyura wakaivamia nchi yao, hata jumba la mfalme likajawa nao.
31
Mungu akanena, kukazuka makundi ya nzi, na viroboto katika nchi yote.
32
Badala ya mvua akawapa mvua ya mawe, na umeme uliomulika nchi yao yote;
33
akaharibu mizabibu na mitini yao, akaivunja pia miti ya nchi yao.
34
Mungu akanena, kukazuka nzige, na panzi maelfu yasiyohesabika;
35
wakaitafuna mimea yote katika nchi, wakayala mazao yao yote.
36
Aliwaua wazaliwa wa kwanza nchini mwao, chipukizi wa kwanza wa jamaa za Wamisri.
37
Kisha akawatoa watu wa Israeli nchini, wakiwa na fedha na dhahabu; wala hakuna hata mmoja wao aliyejikwaa.
38
Wamisri walifurahia kuondoka kwao, kwani hofu iliwashika kwa sababu yao.
39
Mungu alitandaza wingu juu ya watu wake, na moto ili kuwaangazia usiku.
40
Waliomba naye akawaletea kware, akawapa mkate kutoka mbinguni kwa wingi.
41
Alipasua mwamba maji yakabubujika; yakatiririka jangwani kama mto.
42
Aliikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.
43
Basi akawatoa watu wake nchini, wateule wake wakaimba na kushangilia.
44
Aliwapa nchi za mataifa mengine na kuwakabidhi mashamba ya wenyeji;
45
kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Asifiwe Mwenyezi-Mungu!
← Chapter 104
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 106 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150