bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
/
Proverbs 2
Proverbs 2
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 3 →
1
Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako,
2
kutega sikio lako kwenye hekima na kuweka moyo wako katika ufahamu,
3
na kama utaiita busara, na kuita kwa sauti upate ufahamu,
4
na ukiitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa,
5
ndipo utakapoelewa kumcha Mwenyezi Mungu na kupata maarifa ya Mungu.
6
Kwa maana Mwenyezi Mungu hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
7
Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama,
8
kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake.
9
Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki, na sawa: yaani kila njia nzuri.
10
Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako.
11
Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda.
12
Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka,
13
wale wanaoacha mapito ya unyoofu, wakatembea katika njia za giza,
14
wale wanaopenda kutenda mabaya, na kufurahia upotovu wa ubaya,
15
ambao mapito yao yamepotoka, na ambao ni wapotovu katika njia zao.
16
Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno ya kushawishi kutenda ubaya,
17
aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu.
18
Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa.
19
Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima.
20
Hivyo utatembea katika njia za watu wema na kushikamana na mapito ya wenye haki.
21
Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake.
22
Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watang’olewa kutoka humo.
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 3 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31