bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
1 Chronicles 24
1 Chronicles 24
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 23
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 25 →
1
Hayo ndiyo makundi ya wana wa Haruni. Haruni alikuwa na wana wane: Nadabu, Abihu, Eleazari na Itamari.
2
Nadabu na Abihu walikufa mbele ya baba yao, wala hawakukuwa na watoto; kwa hiyo wandugu zao Eleazari na Itamari wakakuwa makuhani.
3
Mufalme Daudi akawapanga wana wa Haruni katika makundi kufuatana na kazi zao. Alisaidiwa kufanya hivyo na Zadoki, wa uzao wa Eleazari, na Ahimeleki, wa uzao wa Itamari.
4
Kwa vile ambavyo kulipatikana viongozi wanaume wengi zaidi kati ya wazao wa Itamari, wakawagawanya wana wa Eleazari chini ya viongozi kumi na sita, na wana wa Itamari chini ya viongozi wanane.
5
Waligawanywa kwa kupiga kura maana kulikuwa wakubwa wa Pahali Patakatifu na viongozi wa Mungu kati ya ukoo zote mbili; ukoo wa Eleazari na ukoo wa Itamari.
6
Naye Semaya mwana wa Nataneli, mwandishi, aliyekuwa Mulawi, akawaandika mbele ya mufalme Daudi, wakubwa wake, kuhani Zadoki, Ahimeleki mwana wa Abiatari na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi; ukoo wa Eleazari ukatwaliwa kwa kupiga kura mbili na ukoo wa Itamari kwa kupiga kura moja.
7
Kura ya kwanza ikamwangukia Yoyaribu, ya pili Yedaya, ya tatu Harimu, ya ine Seorimu, ya tano Malkia, ya sita Miyamini, ya saba Hakosi, ya nane Abiya, ya kenda Yesua, ya kumi Sekania, ya kumi na moja Eliasibu, ya kumi na mbili Yakimu, ya kumi na tatu Hupa, ya kumi na ine Yesebeabu, ya kumi na tano Bilga, ya kumi na sita Imeri, ya kumi na saba Heziri, ya kumi na nane Hapisesi, ya kumi na kenda Petahia, ya makumi mbili Yehezekeli, ya makumi mbili na moja Yakini, ya makumi mbili na mbili Gamuli, ya makumi mbili na tatu Delaya, ya makumi mbili na ine Mazia.
8
Hawa waliandikishwa kulingana na kazi zao kuingia katika nyumba ya Yawe kutumika kwa kadiri ya utaratibu waliowekewa na babu yao Haruni, kama vile alivyoamuriwa na Yawe, Mungu wa Israeli.
← Chapter 23
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 25 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29