bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
1 Chronicles 3
1 Chronicles 3
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 4 →
1
Hawa ndio wana wa mufalme Daudi waliozaliwa wakati alipokuwa kule Hebroni: Amunoni, muzaliwa wake wa kwanza. Mama yake aliitwa Ahinoamu, wa muji wa Yezereheli; wa pili: Danieli ambaye mama yake aliitwa Abigaili wa muji wa Karmeli; wa tatu: Abusaloma, ambaye mama yake aliitwa Maka, binti ya Talmai mufalme wa Gesuri; wa ine: Adonia, ambaye mama yake aliitwa Hagiti; wa tano: Sefatia, ambaye mama yake aliitwa Abitali; wa sita: Itiramu, ambaye mama yake aliitwa Egla.
4
Wote sita, walizaliwa Hebroni ambako Daudi alitawala kwa muda wa miaka saba na nusu. Kule Yerusalema, alitawala kwa muda wa miaka makumi tatu na mitatu.
5
Hawa ndio wana wa mufalme Daudi waliozaliwa alipokuwa Yerusalema: Muke wake Bati-Seba, binti ya Amieli, akamuzalia wana wane: Simea, Sobabu, Natani na Solomono.
6
Na zaidi ya hao alikuwa na wana wengine tisa: Ibuhari, Elisua, Elifeleti,
7
Noga, Nefegi, Yafia,
8
Elisama, Eliada na Elifeleti.
9
Hao wote walikuwa wana wa Daudi, zaidi ya wale kuna wengine aliozaliwa na wahabara yake. Daudi alikuwa na binti vilevile, aliyeitwa Tamari.
10
Mwana wa Solomono: Rehoboamu, mwana wa Rehoboamu: Abiya, mwana wa Abiya: Asa, mwana wa Asa: Yosafati, mwana wa Yosafati: Yoramu, mwana wa Yoramu: Ahazia, mwana wa Ahazia: Yoasi, mwana wa Yoasi: Amazia, mwana wa Amazia: Azaria, mwana wa Azaria: Yotamu, mwana wa Yotamu: Ahazi, mwana wa Ahazi: Hezekia, mwana wa Hezekia: Manase, mwana wa Manase: Amoni, mwana wa Amoni: Yosia.
15
Wana wa Yosia walikuwa: Yohana, muzaliwa wake wa kwanza; wa pili Yoyakimu, wa tatu Zedekia na wa ine Salumu.
16
Wana wa Yoyakimu walikuwa: Yekonia na Zedekia.
17
Wana wa Yekonia, aliyepelekwa kuwa mufungwa na Wababeli, walikuwa: Saltieli,
18
Malkiramu, Pedaya, Senazari, Yekamia, Hosama na Nedabia.
19
Wana wa Pedaya walikuwa: Zerubabeli na Simei. Wana wa Zerubabeli walikuwa: Mesulamu na Hanania. Alikuwa na binti mumoja, jina lake Selomiti.
20
Zerubabeli vilevile alikuwa na wana wengine watano: Hasuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yusabu-Hesedi.
21
Wana wa Hanania walikuwa: Pelatia na Yesaya. Mwana wa Yesaya: Refaya. Mwana wake: Arnani. Mwana wake: Obadia. Mwana wake: Sekania.
22
Mwana wa Sekania: Semaya. Wana wa Semaya walikuwa sita: Hatusi, Igali, Baria, Nearia na Safati.
23
Nearia alikuwa na wana watatu: Eliyoenai, Hezekia na Azirikamu.
24
Eliyoenai alikuwa na wana saba: Hodavia, Eliasibu, Pelaya, Akubu, Yohana, Dalaya na Anani.
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 4 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29