bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Ecclesiastes 11
Ecclesiastes 11
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 12 →
1
Mali zinazokutunza zitume kwenda ng'ambo ya bahari! Siku zitakapopita nyingi, utaziona tena.
2
Nyingine uzigawie watu saba au wanane, kwani huyajui mabaya yatakayokuwa katika nchi.
3
Mawingu yakijaa mvua huimiminia nchi. Tena mti ukiangukia upande wa kusini au wa kaskazini, basi, mahali papo hapo, mti ulipoangukia, ndipo, utakapokuwa.
4
Auangaliaye upepo hatamwaga mbegu, wala ayatazamaye mawingu hatavuna.
5
Kama asivyopatikana mtu anayeijua njia ya upepo, wala jinsi mifupa inavyotengenezeka kuwa mtoto tumboni mwake mwenye mimba, vivyo hivyo nawe huyajui matendo ya Mungu, anayoyatenda yote.
6
Asubuhi zimwage mbegu zako, tena jioni usiulegeze mkono! Kwani hujui, kama ni hizi au ni zile zitakazofaa, au kama zote mbili pamoja zitazaa vema.
7
Kweli mwanga ni mtamu, nako kuliona jua hupendeza macho.
8
Kama mtu anapata miaka mingi ya kuishi, na aifurahie yote akizikumbuka siku za giza zitakazokuwa nyingi nazo; yote yatakayofuata ni ya bure.
9
Wewe kijana, ufurahie utoto wako, moyo wako ule mema siku za ujana wako! Kazishike njia, moyo wako uzitakazo, kayafuate, macho yako yanayoyatazamia! Lakini ujue, ya kuwa hayo yote Mungu atakutakia shauri.
10
Jiepushe penye masikitiko, yasiingie moyoni mwako, nayo mabaya yaangalie, yaupitie mwili wako mbali! Kwani utoto na ujana ni wa bure.
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 12 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12