Psalms 68
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
13ingawa walibaki mazizini: sanamu za njiwa wa madini ya fedha, na mabawa yao yanang'aa kwa dhahabu.
19Mwenyezi-Mungu asifiwe siku kwa siku! Yeye hutubebea mizigo yetu; yeye ndiye Mungu wa wokovu wetu.