bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Proverbs 4
Proverbs 4
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 3
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 5 →
1
Wana wangu, musikilize maadibisho ya baba yenu, mutege sikio mupate kuwa na akili.
2
Maana ninawapa kanuni zuri, musikatae mafundisho yangu.
3
Mimi vilevile nilikuwa mutoto kwa baba yangu, nilikuwa mupole, kipenzi cha mama yangu.
4
Baba yangu alinifundisha hiki: “Shika kwa moyo maneno yangu, shika amri zangu nawe utaishi.
5
Ujipatie hekima, ujipatie ufahamu; usisahau wala kuzarau maneno yangu.
6
Usimwache hekima, nayo itakutunza; umupende, nayo itakulinda.
7
Jambo la musingi ni kujipatia hekima; toa vyote unavyokuwa navyo ujipatie akili.
8
Shikamana sana na hekima, nayo itakutukuza; ukiishikilia itakupa heshima.
9
Itavalisha kilemba cha neema kwenye kichwa chako, atakupa taji lenye utukufu.”
10
Mwana wangu, sikia na kupokea maneno yangu, kusudi upate kuwa na miaka mingi ya kuishi.
11
Nimekufundisha njia ya hekima, nimekuongoza katika njia ya usawa.
12
Ukitembea hatua zako hazitazuizwa, wala ukikimbia hautajikwaa.
13
Shika mafundisho ya hekima na usimwache iponyoke, uishike kwa uangalifu maana ni uzima wako.
14
Usijiingize katika njia ya waovu, wala usifuate mwenendo wa watu wabaya.
15
Epuka njia hiyo wala usiikaribie; ujiepushe nayo, uende zako.
16
Waovu hawalali hata kidogo wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomukwaza mutu.
17
Maana uovu ndicho chakula chao, mateso makali ndiyo divai yao.
18
Njia ya wenye haki ni kama mwangaza wa asubui mapema, ambao unaangaza zaidi na zaidi hata muchana kamili.
19
Lakini njia ya waovu ni kama giza nene, hawajui kinachowafanya wajikwae.
20
Mwana wangu, sikia kwa uangalifu maneno yangu, utegee sikio masemi yangu.
21
Usiyaache yatoweke mbele ya macho, uyafunge ndani ya moyo wako.
22
Maana hayo ni uzima kwa mutu anayeyapata, ni dawa kwa mwili wake wote.
23
Linda moyo wako kwa uangalifu wote, maana mule munatokea chemichemi za uzima.
24
Tenga mbali nawe luga potovu; wala midomo yako isiseme maneno madanganyifu.
25
Uyaelekeze macho yako mbele sawasawa, kope zako zipige sawasawa.
26
Chunguza sana njia utakayopitia, na hatua zako zote zitakuwa kamili.
27
Usigeukie kuume wala kushoto; epusha muguu wako mbali na uovu.
← Chapter 3
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 5 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31