bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Psalms 106
Psalms 106
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 105
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 107 →
1
Haleluia! Mumushukuru Yawe kwa sababu ni muzuri! Wema wake unadumu milele!
2
Ni nani anayeweza kutaja matendo ya Yawe? Ni nani anayeweza kumusifu kama anavyostahili?
3
Heri wale wanaofuata sheria ya Mungu, wanaotenda siku zote mambo ya haki.
4
Unikumbuke, ee Yawe, unapowaonyesha watu wako upendo. Unisaidie wakati unapowaokoa,
5
kusudi niweze kuona uheri wa wachaguliwa wako, nipate kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuona utukufu pamoja na watu wako.
6
Tumetenda zambi sisi na babu zetu; tumetenda maovu, tumefanya mabaya.
7
Babu zetu walipokuwa Misri, hawakujali matendo ya ajabu ya Mungu; hawakukumbuka wingi wa wema wake, lakini walimwasi kando ya bahari Nyekundu.
8
Hata hivyo Mungu aliwaokoa kama alivyoahidi, kusudi aonyeshe nguvu yake kubwa.
9
Alikaripia bahari Nyekundu, ikakauka; akawapitisha humo kama katika inchi kavu.
10
Aliwaokoa katika mikono ya waliowachukia; aliwaokoa kutoka nguvu za waadui zao.
11
Maji ya bahari yaliwafunika waadui zao; wala hapakubakia hata mumoja wao.
12
Hapo watu wake wakaamini maneno yake, wakamwimbia nyimbo za sifa yake.
13
Lakini bila kukawia walisahau matendo yake, wakaacha kutegemea shauri lake.
14
Walipatwa na tamaa kubwa kule katika jangwa, wakamupima Mungu kule kwenye ukiwa.
15
Naye akawapa kile walichoomba, lakini akaleta magonjwa makali kati yao.
16
Kule katika kambi walimwonea Musa wivu, na Haruni, mutumishi mutakatifu wa Yawe.
17
Halafu udongo ukafunguka ukamumeza Datani, na kumuzika Abiramu na kundi lake lote;
18
moto ukawatokea wafuasi wao, ukawateketeza watu hao waovu.
19
Walitengeneza mwana-ngombe wa zahabu kule Horebu, wakaabudu sanamu hiyo ya chuma;
20
walibadilisha utukufu wa Mungu kwa sanamu ya nyama ambaye anakula majani.
21
Walimusahau Mungu aliyewaokoa, aliyetenda mambo makubwa katika inchi ya Misri,
22
maajabu katika inchi hiyo ya Hamu, na mambo ya kutisha katika bahari Nyekundu.
23
Mungu alisema atawaangamiza watu wake, lakini Musa, muchaguliwa wake, aliingilia kati, akazuia hasira yake isiwaangamize.
24
Kisha wakazarau inchi ile ya kupendeza, kwa sababu hawakuaminia ahadi ya Mungu.
25
Walinungunika ndani ya hema zao, wala hawakumusikiliza Yawe.
26
Hivyo Mungu akainua mukono, akaapa kwamba atawaangamizia katika jangwa,
27
atawatawanya wazao wao kati ya watu, na kuwasambaza katika dunia yote.
28
Kisha wakajiunga kumwabudu Bali kule Peori, wakakula sadaka zilizotambikiwa kwa mizimu.
29
Waliichochea hasira ya Yawe kwa matendo yao, magonjwa makali yakatokea kati yao.
30
Lakini Finehasi akasimama kutoa malipizi, na yale magonjwa yakakoma.
31
Jambo hilo linakumbukwa kwa heshima yake, tangu wakati huo na nyakati zote.
32
Walimukasirikisha Mungu penye maji ya Meriba. Musa akapata taabu kwa ajili yao.
33
Walimuletea uchungu katika roho, hata akasema maneno bila kufikiri.
34
Hawakuwaua watu wa mataifa kama vile Yawe alivyowaamuru.
35
Lakini walichanganyika na watu wa mataifa, wakajifunza kutenda mambo yao.
36
Waliabudu sanamu za miungu yao, nazo zikakuwa mutego wa kuwaangamiza.
37
Waliua watoto wao wanaume na wabinti, wakawatoa sadaka kwa mapepo.
38
Walimwanga damu ya wasiokuwa na kosa, damu ya watoto wao wanaume na wabinti ambao waliwatoa sadaka kwa sanamu za Wakanana, nayo inchi ikachafuliwa kwa uuaji huo.
39
Hivyo wakajichafua kwa matendo yao, wakakosa uaminifu kwa Mungu kama wazini.
40
Hasira ya Yawe ikawawakia watu wake, akachukizwa sana na hao waliokuwa mali yake.
41
Akawatoa katika mikono ya watu wa mataifa, hao wenye kuwachukia, wakawatawala.
42
Waadui zao waliwagandamiza, wakawatumikisha kwa nguvu.
43
Mara nyingi Mungu aliwaokoa watu wake, lakini wao wakachagua kumwasi, wakazidi kuzama katika uovu wao.
44
Hata hivyo Mungu aliona taabu yao, wakati aliposikia kilio chao;
45
kwa ajili yao alilikumbuka agano lake, akawahurumia kwa wingi wa wema wake.
46
Aliwafanya wale waliowaangamiza wawaonee huruma.
47
Utuokoe, ee Yawe, Mungu wetu, utukusanye pamoja kutoka kwa mataifa, tupate kusifu jina lako takatifu, na kuona utukufu juu ya sifa zako.
48
Yawe, Mungu wa Israeli, asifiwe tangu milele na hata milele! Na watu wote waseme: “Amina!” Haleluia!
← Chapter 105
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 107 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150