bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Psalms 89
Psalms 89
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 88
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 90 →
1
Mashairi ya Etani, Mwezra.
2
Ee Yawe, nitayaimba mema yako kwa milele; nitatangaza uaminifu wako kwa vizazi vyote.
3
Nitasema kwamba wema wako unadumu kwa milele, uaminifu wako ni imara kama mbingu.
4
Wewe umesema: “Nimefanya agano na muchaguliwa wangu, nimemwapia mutumishi wangu Daudi hivi:
5
‘Siku zote nitamuweka mumoja wa wazao wako kuwa mufalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’ ”
6
Ee Yawe, mbingu zinasifia maajabu yako, uaminifu wako unasifiwa katika kusanyiko la watakatifu.
7
Nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa nawe, ee Yawe? Nani anayekuwa sawa nawe kati ya miungu?
8
Wewe unatisha katika baraza la watakatifu; wote wanaokusanyika mbele yako wanakuheshimu na kukuogopa.
9
Ee Yawe, Mungu wa majeshi, ni nani mwenye nguvu kama wewe? Ee Yawe, uaminifu umekuzunguka pande zote.
10
Wewe unaamuru machafuko ya bahari; mawimbi yake yakiinuka, unayatuliza.
11
Ulimuponda nyama mukubwa Rahaba na kumwua; uliwatawanya waadui zako kwa nguvu yako.
12
Mbingu ni zako na dunia ni yako pia; ni wewe uliyeumba ulimwengu na vyote vinavyokuwa ndani yake.
13
Wewe uliumba kaskazini na kusini; milima Tabori na Hermoni inakushangilia.
14
Mukono wako unajaa nguvu, mukono wako una nguvu na umeshinda!
15
Haki na sheria ndio musingi wa utawala wako; wema na uaminifu vinakutangulia!
16
Heri watu wanaojua kukushangilia, wanaoishi katika mwangaza wa wema wako, ee Yawe.
17
Wanafurahi muchana kutwa kwa sababu yako, na kukusifu kwa ajili ya haki yako.
18
Wewe ndiwe utukufu na nguvu yao; kwa upendo wako tunapata ushindi.
19
Ee Yawe, ngao yetu ni chini ya ulinzi wako. Mufalme wetu ametoka kwako, ewe Mutakatifu wa Israeli.
20
Zamani ulisema katika maono, ukawaambia watumishi wako waaminifu: “Nimemupa nguvu shujaa mumoja, nimemwinua huyo niliyemuchagua kati ya watu.
21
Nimemupata mutumishi wangu Daudi; nimemuchagua kwa kumupakaa mafuta yangu matakatifu.
22
Mukono wangu wa nguvu utakuwa naye siku zote; mukono wangu mimi mwenyewe utamwimarisha.
23
Waadui hawataweza kumushinda, wala waovu hawatamwonea.
24
Mimi nitawaponda wapinzani wake; nitawaangamiza wote wanaomuchukia.
25
Nitakuwa mwaminifu na mwema kwake. Kwa jina langu atapata ushindi mukubwa.
26
Nitaongeza nguvu na utawala wake, kutoka bahari ya Mediteranea mpaka muto Furati.
27
Yeye atasema, ‘Wewe ni baba yangu, Mungu wangu, mulima wa wokovu wangu.’
28
Nami nitamufanya kuwa muzaliwa wangu wa kwanza, mukubwa kuliko wafalme wote wa dunia.
29
Nitamwonyesha wema wangu kwa milele, na agano langu kwake litadumu siku zote.
30
Nitaudumisha ukoo wake wa kifalme siku zote, nao ufalme wake kama mbingu.
31
“Lakini wazao wake wakiiacha sheria yangu, wasipoishi kufuatana na maagizo yangu,
32
kama wakivunja masharti yangu, na kuacha kutii amri zangu,
33
hapo nitayaazibu makosa yao; nitawapiga kwa sababu ya maovu yao.
34
Lakini sitaacha kumutendea mema Daudi, wala sitavunja uaminifu wangu kwake.
35
Sitavunja agano langu naye, wala kugeuza neno nililosema kwa mudomo wangu.
36
“Nimeapa mara moja tu kwa utakatifu wangu; nami sitamwambia Daudi uongo.
37
Ukoo wake utadumu milele, nao ufalme wake kama jua.
38
Utadumu milele kama mwezi unaokuwa mushuhuda mwaminifu asiyetoka katika anga.”
39
Lakini sasa, ee Mungu, umemutupa na kumukataa, umejaa kasirani juu ya huyo uliyemuchagua.
40
Umefuta agano ulilofanya na mutumishi wako; umeitupa taji yake ya kifalme ndani ya mavumbi.
41
Umebomoa kuta zote za muji wake; umezivunjavunja nafasi zake za kukimbilia.
42
Wote wanaopita wanaiba mali zake; wajirani zake wanamuzarau.
43
Umewapatia waadui ushindi; umewafurahisha waadui zake wote.
44
Umepoteza ukali wa silaha zake; ukamwachilia ashindwe katika vita.
45
Umemuvua madaraka yake ya kifalme, ukauangusha utawala wake chini.
46
Umezipunguza siku za ujana wake, ukamufunika haya tele.
47
Ee Yawe, utajificha hata milele? Mpaka wakati gani hasira yako itawaka kama moto?
48
Unikumbuke, ee Bwana. Maisha ni mafupi! Umewaumba wanadamu wote kwa bure?
49
Ni mutu gani anayeweza kuishi pasipo kufa? Nani anayeweza kujiepusha na kifo?
50
Ee Bwana, yako wapi yale mema yako ya zamani uliyomwahidi Daudi kwa uaminifu wako?
51
Ee Bwana, ukumbuke matusi ya mutumishi wako, jinsi ninavyovumilia mazarau ya mataifa.
52
Ee Yawe, ona jinsi wanavyomuzomea muchaguliwa wako. Wanamuzomea kila fasi anapokwenda.
53
Yawe asifiwe milele! Amina! Amina!
← Chapter 88
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 90 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150