bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Psalms 18
Psalms 18
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 17
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 19 →
1
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi, mutumishi wa Mungu, aliyomwimbia wakati alipomwokoa katika mikono ya Saulo na waadui wengine.
2
Ninakupenda, ee Yawe, nguvu yangu!
3
Yawe ni kikingio changu, kimbilio langu, mukombozi wangu, Mungu wangu, yule ambaye ninamukimbilia, ngao yangu, nguvu ya wokovu wangu, munara wangu.
4
Ninamwita Yawe anayestahili sifa anisaidie, nami ninaokolewa kutoka waadui zangu.
5
Kamba za kifo zilinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinishambulia;
6
kamba za kuzimu zilinizunguka, mitego ya kifo ilikuwa mbele yangu.
7
Katika taabu yangu, nilimwita Yawe; nilimulilia Mungu wangu anisaidie. Toka katika hekalu lake, alisikia sauti yangu; kilio changu kilimufikia katika masikio yake.
8
Halafu dunia ikatetemeka na kutikisika, misingi ya milima ikayumbayumba na kutetemeka, kwa maana Mungu alikuwa amekasirika.
9
Moshi ulifuka kutoka katika pua lake, moto wenye kuteketeza ukatoka katika kinywa chake, makaa ya moto yakatokea.
10
Aliinamisha anga, akashuka chini, na wingu jeusi lilikuwa chini ya miguu yake.
11
Alipanda juu ya kerubi na kuruka, akaruka juu ya mabawa ya upepo.
12
Alijifunika giza pande zote, alijizungushia mawingu mazito ya mvua.
13
Umeme ulimetameta mbele yake; na katika mawingu kukatokea mvua ya mawe na makaa ya moto.
14
Yawe alinguruma kutoka mbingu; Mungu Mukubwa akatoa sauti yake.
15
Aliwapiga waadui mishale yake, akawatawanya; alirusha umeme mukali, akawakimbiza.
16
Ee Yawe, ulipovikaripia, pumzi ya pua yako ilifunua vilindi vya bahari na misingi ya dunia ikaonekana.
17
Mungu alinyoosha mukono wake kutoka juu, akanitwaa, alininyanyua kutoka ndani ya maji mengi.
18
Aliniokoa kutoka adui yangu mwenye nguvu, kutoka hao walionichukia na kuwa na nguvu kunishinda.
19
Walinishambulia nilipokuwa katika taabu, lakini Yawe alinikinga.
20
Alinileta, akaniweka kwenye nafasi ya usalama; aliniponyesha kwa sababu alipendezwa nami.
21
Yawe alinitendea kwa kadiri ya haki yangu; alinilipa kwa vile mikono yangu haina kosa.
22
Maana nimefuata njia za Yawe, wala sikujitenga na Mungu wangu kwa ajili ya uovu.
23
Nimeshika maagizo yake yote, sikuacha kufuata masharti yake.
24
Mbele yake nilikuwa mukamilifu; nimejikinga nisikuwe na kosa.
25
Yawe amenilipa kwa kadiri ya haki yangu; kwa kadiri ya usafi wa mikono yangu mbele yake.
26
Wewe ni mwema kwa wema, mukamilifu kwa wakamilifu,
27
bila kosa kwa wale ambao hawafanyi makosa, lakini mukali kwa waovu.
28
Wewe unawaokoa wanyenyekevu, lakini unawashusha wenye macho ya kujivuna.
29
Wewe, ee Yawe, unawakisha taa yangu. Mungu wangu anafanya giza langu likuwe mwangaza.
30
Kwa musaada wako, ninashinda kundi la waaskari; kwa musaada wa Mungu wangu, ninaruka kuta.
31
Njia ya Mungu ni kamilifu. Ahadi ya Yawe ni ya kuaminika. Yeye ni ngao kwa wote wanaomukimbilia.
32
Nani anayekuwa Mungu isipokuwa Yawe? Nani anayekuwa kikingio isipokuwa Mungu wetu?
33
Ni Mungu ambaye ananipatia nguvu, na kuifanya salama njia yangu.
34
Ameiimarisha miguu yangu kama ya swala, na kunilinda salama juu ya milima.
35
Ananifundisha kupigana vita, mikono yangu iweze kuvuta upinde wa chuma.
36
Umenipa ngao yako ya wokovu na kuniimarisha kwa mukono wako wa kuume. Nimefanikiwa kwa sababu ulikubali kunisaidia.
37
Umepanua njia yangu wala miguu yangu haikuteleza.
38
Niliwafuata waadui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka wamemalizika.
39
Niliwaangamiza, wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
40
Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha waadui chini yangu.
41
Uliwakimbiza waadui zangu, na wale walionichukia niliwaangamiza.
42
Walitafuta musaada, lakini hakukukuwa wa kuwasaidia; walimulilia Yawe, lakini hakuwajibu.
43
Niliwatwanga, wakakuwa kama vumbi inayopeperushwa na upepo; niliwakanyaga kama matope katika barabara.
44
Wewe uliniokoa kutoka mashambulizi ya watu, ukanifanya kuwa mutawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia.
45
Waliposikia tu habari zangu, walinitii; wageni walinijia wakinyenyekea.
46
Wageni walivunjika moyo; wakakuja kutoka makimbilio yao wakitetemeka.
47
Yawe anaishi! Yeye ni kikingio changu – asifiwe! Mungu ni mwokozi wangu – atukuzwe!
48
Yeye ameniwezesha kulipiza kisasi; na kuwaweka mataifa chini ya mamlaka yangu.
49
Ameniokoa kutoka waadui zangu, Ee Yawe, ulinitukuza juu ya wapinzani wangu na kuniponyesha kutoka watesaji wakali.
50
Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, nitaliimbia sifa jina lako.
51
Mungu anamujalia mufalme wake ushindi mukubwa; anamutendea mema muchaguliwa wake, ndiye Daudi na wazao wake milele.
← Chapter 17
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 19 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150