bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Psalms 78
Psalms 78
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 77
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 79 →
1
Mashairi ya Asafu. Musikie mafundisho yangu, enyi watu wangu, mutegee sikio maneno ya kinywa changu.
2
Nitasema nanyi kwa mafumbo, nitasema mambo yaliyofichwa tangu zamani;
3
mambo tuliyosikia na kuyajua, mambo ambayo babu zetu walituelezea.
4
Hatutayaficha kwa watoto wetu lakini tutawaelezea kizazi kinachokuja matendo ya utukufu ya Yawe na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda.
5
Aliwapa wazao wa Yakobo masharti, aliweka sheria katika Israeli ambayo aliwaamuru babu zetu wawafundishe watoto wao;
6
kusudi watu wa kizazi kinachokuja, watoto watakaozaliwa kisha, wazijue, nao pia wawajulishe watoto wao,
7
kusudi wamwekee Mungu tumaini lao, wasipate kusahau matendo ya Mungu, lakini washike amri zake,
8
wasikuwe kama vile babu zao walivyokuwa, watu wagumu na waasi, kizazi ambacho hakikuwa na musimamo kamili, ambacho hakikuwa na uaminifu kwa Mungu.
9
Watu wa Efuraimu, pinde na mishale katika mukono, walirudi nyuma, wakakimbia siku ile ya vita.
10
Hawakushika agano la Mungu; walikataa kufuata sheria yake.
11
Walisahau mambo aliyokuwa ametenda, ndiyo miujiza aliyokuwa amewaonyesha.
12
Alifanya maajabu mbele ya babu zao, katika mbuga za Soani kule Misri.
13
Aligawanya bahari, akawapitisha ndani yake; aliyafanya maji yasimame kama ukuta.
14
Muchana aliwaongoza kwa wingu; usiku kucha kwa mwangaza wa moto.
15
Alipasua mawe kule katika jangwa, akawakunywesha maji kutoka shimo refu.
16
Alitiririsha vijito kutoka katika jiwe, nayo maji kama mito.
17
Hata hivyo waliendelea kumukosea Mungu; walimwasi Mungu Mukubwa kule katika jangwa.
18
Walimujaribu Mungu kwa makusudi; wakidai wapewe chakula walichotaka.
19
Walimutukana Mungu wakisema: “Hakika, Mungu anaweza kutupatia chakula katika jangwa?
20
Ni kweli, alipiga jiwe, maji yakatiririka kama muto; lakini, sasa anaweza kweli kutupatia mukate, na kuwapatia watu wake nyama?”
21
Yawe, aliposikia hayo, akakasirika, moto ukawawakia wazao wa Yakobo, hasira yake ikapanda juu ya watu wa Israeli,
22
kwa sababu hawakumwaminia, wala hawakutumainia kwamba angeweza kuwaokoa.
23
Hata hivyo aliamuru mawingu, akafungua milango ya mbingu;
24
akawanyeshea mana wapate kula, akawapa ngano kutoka mbinguni.
25
Wanadamu wakakula chakula cha wamalaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.
26
Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea upepo wa kusini,
27
akawaangushia watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama muchanga wa bahari.
28
Ndege hao walianguka katika kambi lao, kandokando ya makao yao.
29
Watu walikula wakashiba; Mungu aliwapa walichotaka.
30
Lakini mbele ya kukata hamu yao, chakula kilipokuwa kingali katika kinywa,
31
hasira ya Mungu iliwaka juu yao; akaua wenye nguvu kati yao, na kuwaangusha vijana wa Israeli.
32
Hata hivyo waliendelea kumukosea Mungu; ijapokuwa alitenda maajabu, hawakuamini.
33
Basi, akatowesha siku zao kama pumzi, miaka yao kwa misiba ya rafla.
34
Kila mara alipowaua, waliobaki walimugeukia; wakageuka toka ubaya wao, wakamugeukia Mungu kwa moyo.
35
Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa kikingio chao, kwamba Mungu Mukubwa alikuwa mukombozi wao.
36
Lakini walimudanganya kwa maneno yao; walimwambia uongo.
37
Hawakuambatana naye kwa moyo, hawakukuwa waaminifu kwa agano lake.
38
Lakini Mungu mwenye huruma alisamehe uovu wao, wala hakuwaangamiza. Mara nyingi alizuia hasira yake, wala hakuacha kasirani yake yote iwake.
39
Alikumbuka kwamba wao ni watu tu; ni kama upepo unaopita na kutoweka.
40
Mara ngapi walimwasi kule katika jangwa, na kumuchukiza huko kwenye ukiwa!
41
Walimujaribu Mungu tena na tena, wakamukasirikisha huyo Mutakatifu wa Israeli.
42
Hawakukumbuka nguvu yake, wala siku ile alipowaokoa kutoka waadui zao,
43
alipotenda maajabu katika inchi ya Misri, na miujiza katika mbuga za Soani!
44
Aligeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa.
45
Aliwapelekea makundi ya mainzi yaliyowasumbua, na vyura waliowaletea hasara.
46
Alituma nzige, wakakula mavuno yao, na kuharibu mashamba yao.
47
Aliiharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe, na mitini yao kwa baridi kali.
48
Ngombe wao aliwaua kwa mvua ya mawe, na kondoo wao kwa radi.
49
Alimwanga juu yao hasira yake kali, kasirani, chuki na taabu, na kuwashushia kundi la wamalaika waangamizaji.
50
Aliachilia hasira yake iendelee, wala hakuwaepusha na kifo, lakini aliwaangamiza kwa ugonjwa mukali.
51
Aliwaua wazaliwa wa kwanza wote wa Wamisri; ndilo chipukizi la kwanza katika kambi la Hamu.
52
Kisha aliwahamisha watu wake kama kondoo, akawaongoza katika jangwa kama kundi la nyama.
53
Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika waadui zao.
54
Aliwaleta katika inchi yake takatifu, katika mulima aliounyanganya kwa nguvu yake.
55
Alifukuza mataifa mbele yao, akatoa inchi zao zikuwe mali ya Israeli, akaikalisha makabila ya Israeli katika mahema zao.
56
Hata hivyo walimupima na kumwasi Mungu Mukubwa; wala hawakushika maagizo yake.
57
Lakini waligeuka na kufanya mabaya kama babu zao; wakayumbayumba kama upinde usiokuwa imara.
58
Walimukasirikisha kwa mazabahu zao za miungu; wakamutia wivu kwa sanamu zao za kuchongwa.
59
Mungu alipoona hayo, akawaka hasira; akamukataa Israeli kabisa.
60
Aliacha makao yake kule Shilo, makao ambamo alikaa kati ya watu.
61
Aliacha kitambulisho cha nguvu yake kinyanganywe, utukufu wake utiwe katika mikono ya waadui.
62
Aliwakasirikia watu wake mwenyewe; akawatoa waangamizwe kwa upanga.
63
Moto ukawateketeza vijana wao wanaume, na wabinti wao wakakosa wachumba.
64
Makuhani wao walikufa kwa upanga, wala wajane wao hawakuomboleza.
65
Kisha Bwana aliamuka kama kutoka katika usingizi, kama shujaa aliyechangamushwa na divai.
66
Akawashinda waadui zake; akawafezehesha kwa milele.
67
Alikataa wazao wa Yosefu, wala hakuchagua kabila la Efuraimu.
68
Lakini alichagua kabila la Yuda, mulima Sayuni anaoupenda.
69
Alijenga hapo hekalu lake kubwa kama mbingu, kama dunia aliyoiimarisha milele.
70
Alimuchagua Daudi, mutumishi wake, akamutoa katika kazi ya kuchunga kondoo.
71
Alimutoa katika kazi ya kuchunga kondoo na wana-kondoo, akuwe na madaraka ya kuchunga watu wa Yakobo taifa lake, achunge Israeli, watu wa pekee wa Mungu.
72
Daudi akawafundisha kwa moyo mukamilifu, akawaongoza kwa uhodari mukubwa.
← Chapter 77
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 79 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150