bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Hosea 6
Hosea 6
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 5
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 7 →
1
Njoni, tumrudie Bwana! Yeye aliyeturarua ndiye atakayetuponya, yeye aliyetupiga ndiye atakayetufunga vidonda.
2
Ataturudisha uzimani, siku mbili zitakapopita. Siku ya tatu atatuinua; ndipo, tutakapokuwa wazima mbele yake,
3
ndipo, tutakapojua maana, tujihimize kumjua Bwana; hana budi kutokea, kama mapambazuko yasivyokuwa na budi kutokea; atatujia kama mvua, kama mvua ya vuli inyweshayo nchi.
4
Nikufanyizie nini wewe Efuraimu? nikufanyie nini, wewe Yuda? Magawio yenu hufanana na wingu la asubuhi, tena na umande unaokauka mapema.
5
Kwa hiyo nimewapiga kwa wafumbuaji, nikawaua kwa maneno ya kinywa changu, mapatilizo yako hayana budi kutokea kama mwanga;
6
kwani huruma ndizo zitazonipendeza, vipaji vya tambiko sivyo; kumjua Mungu hupita ng'ombe za tambiko, ijapo ziwe za kuteketezwa nzima.
7
Lakini wao kwa kimtu chao huvunja agano; ndivyo, wanavyoniacha kwa udanganyifu.
8
Gileadi ni mji wao wafanyao maovu, nyayo zao hujaa damu.
9
Kama wanyang'anyi wanavyomwotea mtu, ndivyo, chama cha watambikaji kinavyoua katika njia ya kwenda Sikemu; ndiko, walikofanya mabaya, waliyokwisha kuyawaza.
10
Kwao walio mlango wa Isiraeli nimeona mambo yazizimuayo; ndiko, Efuraimu anakofanya ugoni, Isiraeli naye hujichafua.
11
Nawe Yuda, utakayoyavuna, yako tayari; itakuwa hapo, nitakapoyafungua mafungo yao walio ukoo wangu.
← Chapter 5
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 7 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14