bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Leviticus 12
Leviticus 12
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 11
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 13 →
1
Bwana akamwambia Mose kwamba:
2
Waambie wana wa Isiraeli kwamba: Mwanamke akipata mimba na kuzaa mtoto mume atakuwa mwenye uchafu siku saba, kama anavyokuwa mwenye uchafu siku zake za kuwa miezini.
3
Siku ya nane mtoto na atahiriwe.
4
Kisha huyo mwanamke na akae siku 33, damu yake ipate kutakata; cho chote kilicho kitakatifu asikiguse, wala asiingie Patakatifu, mpaka siku za weuo wake zitimie.
5
Lakini akizaa mtoto mke atakuwa mwenye uchafu majuma mawili, kama vilivyo, akiwa miezini. Kisha atakaa siku 66, damu yake ipate kutakata.
6
Siku za weuo wake kwa kuzaa mtoto mume au mke zitakapotimia, na apeleke mwana kondoo wa mwaka mmoja kuwa ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima na kinda la njiwa manga au hua kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo akiwafikisha hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano kwake mtambikaji.
7
Naye atamtolea Bwana hizo ng'ombe za tambiko na kumpatia upozi; ndipo, atakapotakata kwa ajili ya hiyo damu yake iliyomtoka. Haya ndiyo maonyo ya kufundisha mambo ya mwanamke aliyezaa mtoto mume au mke.
8
Lakini mkono wake usipopata mwana kondoo na achukue hua wawili au makinda mawili ya njiwa manga, mmoja kuwa ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima, wa pili kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo, mtambikaji ampatie upozi. Ndipo, atakapotakata.
← Chapter 11
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 13 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27