bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Job 11
Job 11
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 12 →
1
Kisha Zofari wa inchi ya Namati akamujibu Yobu:
2
Wingi huu wa maneno uachwe tu bila kujibiwa? Mutu wa maneno mengi anaonyesha kwamba hana kosa?
3
Kupapayuka kwako kutanyamazisha watu? Kama ukichekelea watu, hakuna atakayekupatisha haya?
4
Wewe unasema: “Masemi yangu ni safi, mimi sina kosa mbele ya Mungu.”
5
Heri Mungu angefungua kinywa chake na kutoa sauti yake kwa kukujibu!
6
Angekuelezea siri za hekima, maana yeye yuko na maarifa mengi. Ujue kwamba Mungu hakuhesabu makosa yako yote.
7
Unaweza kuvumbua siri za Mungu na kujua ukomo wa Mungu Mwenye Uwezo?
8
Ukubwa wake unapita mbingu; wewe unaweza nini? Kimo chake kinapita kuzimu; wewe unaweza kujua nini?
9
Ukubwa ule unapita urefu wa dunia, unapita upana wa bahari.
10
Kama Mungu akipita, akimufunga mutu na kumuhukumu, nani anayeweza kumuzuia?
11
Mungu anajua watu wasiofaa; anaona uovu vilevile bila magumu.
12
Mupumbafu hawezi kuwa na maarifa. Punda wa pori ni punda wa pori tu.
13
Yobu, ukifanya moyo wako mukamilifu, utainua mikono yako kwa kumwomba Mungu!
14
Kama uovu uko katika mukono wako, uutupilie mbali. Usikubali ubaya ukuwe katika nyumba yako.
15
Halafu utainua uso wako bila kosa, utakuwa imara bila kuwa na hofu.
16
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita.
17
Maisha yako yataangaa kuliko jua la muchana kati, giza lake litabadilika kuwa mapambazuko.
18
Utakuwa na uhakika maana kuna tumaini; utalindwa na kupumzika salama.
19
Utalala bila kuogopeshwa na mutu; watu wengi watakuomba musaada.
20
Lakini waovu macho yao yatafifia, njia zote za kutorokea zitawapotea; tumaini lao la mwisho ni kukata roho!
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 12 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42