bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Job 19
Job 19
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 18
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 20 →
1
Kisha Yobu akajibu:
2
Mutaendelea kunitesa mpaka wakati gani, na kunivunjavunja kwa maneno?
3
Mara hizi zote kumi mumenitukana. Basi, hamusikii haya kunitendea vibaya?
4
Hata kama ingekuwa nimekosa kweli, kosa langu linanielekea mimi mwenyewe.
5
Munaishusha hali yangu mupate kujipandisha; munanitusi kwa kunyenyekezwa kwangu.
6
Mujue kwamba Mungu amenitendea vibaya na kuninasa katika wavu wake.
7
Ninalalamika: “Mateso makali!” lakini sijibiwi. Ninaita kwa sauti kubwa, lakini sipati haki yangu.
8
Njia yangu ameiziba kwa ukuta kusudi nisipite, njia zangu amezitia giza.
9
Amenivua utukufu wangu; ameiondoa taji yangu juu ya kichwa.
10
Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu ameliongoa kama muti.
11
Ameichochea kasirani yake juu yangu; ameniona kuwa kama adui yake.
12
Majeshi yake yananifikia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu.
13
Mungu amewaweka wandugu zangu mbali nami; warafiki zangu wakubwa wamenitoroka kabisa.
14
Wandugu zangu na warafiki hawanisaidii tena.
15
Wageni katika nyumba yangu wamenisahau; wajakazi wangu wananiona kuwa mugeni. Mimi nimekuwa kwao mutu wasiyemujua.
16
Ninamwita mutumishi wangu lakini haitikii, ninalazimishwa kumusihi sana kwa maneno.
17
Nimekuwa harufu mbaya kwa muke wangu; chukizo kwa wandugu zangu wa tumbo.
18
Hata watoto wadogo wananizarau; wakati ninapojitokeza wao wananizomea.
19
Warafiki zangu wakubwa wanachukizwa nami, wale niliokuwa nikiwapenda wamenigeuka.
20
Mwili wangu umebakia tu mifupa na ngozi, nimeponyoka kisha kupoteza yote.
21
Munionee huruma, munionee huruma, enyi warafiki zangu; maana mukono wa Mungu umenigusa.
22
Kwa nini munanifuatilia kama Mungu? Mbona hamutosheki na mwili wangu?
23
Heri maneno yangu yangeandikwa! Heri yangeandikwa katika kitabu!
24
Heri yangechorwa kwa chuma na risasi juu ya jiwe kusudi yadumu!
25
Ninajua wazi Mukombozi wangu anaishi. Kwa mwisho yeye atasimama hapahapa katika dunia.
26
Na nyuma ngozi yangu kuharibika hivyo, nitamwona Mungu nikiwa na mwili huu.
27
Mimi mwenyewe nitakutana naye. Mimi mwenyewe na si mwingine nitamwona kwa macho. Moyo wangu unachomwa kwa kumungojea.
28
Ninyi munaweza kujisemesha: “Tutamufuatilia namna gani? Namna gani tutapata kwake maneno ya kumushitaki?”
29
Lakini muogope azabu, chuki yenu isiwaletee kifo. Mujue kwamba kutakuwa hukumu!
← Chapter 18
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 20 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42