bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Job 8
Job 8
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 9 →
1
Halafu Bildadi wa inchi ya Suhi akamujibu Yobu:
2
Utasema mambo haya mpaka wakati gani? Mpaka wakati gani maneno yako yatakuwa matupu kama upepo?
3
Maana, unazani Mungu anapotosha sheria? Au, Mungu Mwenye Uwezo anapotosha haki?
4
Kama watoto wako wamemukosea Mungu, yeye amewalipiza matokeo ya makosa yao.
5
Kama utamutafuta Mungu na kumusihi yule Mungu Mwenye Uwezo,
6
kama wewe uko safi ndani ya moyo na wa usawa, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili.
7
Na ingawa ulianza kuishi kwa uzaifu, maisha yako ya mwisho yatakuwa bora zaidi.
8
Tafazali, ujifunze kwa wale waliotutangulia; shika mambo ambayo wazee walitambua.
9
Sisi ni watu wa juzijuzi tu, hatujui kitu; siku zetu katika dunia ni kivuli kinachopita.
10
Lakini wao watakufundisha na kukuambia mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao.
11
Nyasi zinaota tu penye tingitingi, matete yanastawi pahali panapokuwa maji.
12
Hata kama yamechanua na bila kukatwa, yakikosa maji yananyauka mbele ya mimea mingine.
13
Ndivyo wote wanaomusahau Mungu wanavyokuwa. Tumaini la wasiomwamini Mungu litapotea.
14
Tegemeo lao linavunjika, tumaini lao ni utando wa buibui.
15
Wanaegemea nyumba yao lakini haitasimama, wanaishikilia lakini haidumu.
16
Wako kama ua ambalo jua linapotoka linastawi; linaeneza matawi yake katika bustani yake,
17
mizizi yake inajisokotasokota kwenye mawe, nalo linaenda kuchunguza ndani ya jiwe.
18
Lakini likiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatalikana yakisema: “Sijakuona bado.”
19
Ile ndiyo furaha ya mwisho wake, na pahali pake patachipuka mengine.
20
Sikia! Mungu hatakataa mutu mukamilifu, wala hatasaidia waovu.
21
Lakini atajaza kinywa chako kicheko, na midomo yako sauti ya furaha.
22
Wale wanaokuchukia watapata haya, makao ya waovu yatatoweka kabisa.
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 9 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42