bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
/
Job 12
Job 12
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
← Chapter 11
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 13 →
1
Halafu Yobu akajibu:
2
Hakika! Ninyi ni watu wa hekima. Hekima itakufa wakati ule mutakapokufa.
3
Mimi nami nina ufahamu kama ninyi. Mimi si mutu wa akili ndogo kuliko ninyi. Yote muliyosema kila mutu anajua.
4
Nilikuwa mutu wa kumwomba Mungu na kupata jibu lake. Sasa, watu wananichekelea. Wanachekelea mutu mukamilifu, mwenye haki.
5
Mutu mwenye raha anazarau taabu; taabu ni kwa wale wanaoteleza.
6
Makao ya wanyanganyi yana amani. Wenye kumuchokoza Mungu wako salama; nguvu yao ni mungu wao.
7
Lakini uulize nyama nao watakufundisha; uulize ndege nao watakuambia.
8
Au uulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu.
9
Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Yawe ametenda yale?
10
Uzima wa kila kiumbe, pumzi ya kila mwanadamu, viko katika mikono yake.
11
Sikio halipimi maneno kama vile ulimi unavyoonja chakula?
12
Hekima iko kwa watu wazee, maarifa kwa walioishi muda murefu.
13
Lakini hekima na uwezo ni vya Mungu. Yeye ana maarifa na ujuzi.
14
Akibomoa, hakuna anayeweza kujenga upya; akifunga mutu, hakuna anayeweza kumufungua.
15
Akizuia mvua, inchi inakauka; akiifungulia, inchi inaharibika.
16
Yeye ana nguvu na hekima. Wanaodanganywa na wanaodanganya ni wake.
17
Anawatembeza washauri miguu wazi, anawafanya waamuzi kuwa wapumbafu.
18
Anavua wafalme mikaba yao, na kuwafunga kamba za wafungwa katika viuno.
19
Anaacha makuhani watembee uchi; na kuwaangusha wenye nguvu.
20
Ananyanganya washauri zawadi yao ya kusema, anaondolea wazee ufahamu wao.
21
Anamwagia wakubwa mazarau, anawaondolea wenye uwezo nguvu yao.
22
Anafunua vilindi vya giza, na kuleta katika mwangaza mambo yaliyokuwa katika giza.
23
Anayaongeza mataifa kisha anayaangamiza, anayafanya yapanuke kisha anayatawanya.
24
Anaondolea viongozi wa watu ujuzi wao, anawafanya watangetange katika jangwa kusikokuwa njia,
25
wakipapasapapasa katika giza kusikokuwa mwangaza; na kuwafanya wapepesuke kama walevi.
← Chapter 11
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 13 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42