bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Samuel 5
1 Samuel 5
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 4
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 6 →
1
Wafilisti wakalichukua Sanduku la Mungu, wakalitoa Ebeni-Ezeri, wakalipeleka Asdodi.
2
Wafilisti walipolichukua Sanduku la Mungu wakaliingiza nyumbani mwa Dagoni, wakaliweka kando yake Dagoni.
3
Kesho yake watu wa Asdodi walipoamka asubuhi wakamkuta Dagoni, akilala usoni chini mbele ya Sanduku la Bwana; wakamchukua Dagoni, wakamrudisha mahali pake.
4
Kesho yake walipoamka asubuhi wakamkuta Dagoni tena, akilala usoni chini mbele ya Sanduku la Bwana, nacho kichwa cha Dagoni na viganja vyote viwili vya mikono yake vilikuwa vimekatika, vilikuwa penye kizingiti, nao mwili ulikuwa umesalia peke yake.
5
Kwa hiyo watambikaji wa Dagoni nao wote wanaoingia nyumbani mwa Dagoni hawakikanyagi kizingiti cha Dagoni huko Asdodi mpaka siku hii ya leo.
6
Mkono wa Bwana ukawalemea watu wa Asdodi, akawaangamiza na kuwapiga kwa majipu mabaya waliokuwamo Asdodi namo katika mipaka yake.
7
Watu wa Asdodi walipoyaona mambo hayo kuwa hivyo wakasema: Sanduku la Mungu wa Waisiraeli halitakaa tena kwetu, kwani mkono wake umetulemea sisi na mungu wetu Dagoni.
8
Wakatuma, wakawakusanya wakuu wote wa Wafilisti kwao, wakauliza: Tulifanyie nini Sanduku la Mungu wa Waisiraeli? Wakasema: Sanduku la Mungu wa Waisiraeli na lihamishwe Gati! Wakalihamisha Sanduku la Mungu wa Waisiraeli.
9
Ikawa, walipokwisha kulihamisha, ndipo, mkono wa Bwana ulipoustusha mji huo, likawa stusho kubwa sana, akiwapiga watu wa mji huo, wakubwa kwa wadogo, wakatoka majipu mabaya.
10
Ndipo, walipolipeleka Sanduku la Mungu Ekroni; ikawa, Sanduku la Mungu lilipoingia Ekroni, watu wa Ekroni wakalia kwamba: Sanduku la Mungu wa Waisiraeli wamelihamisha kwetu, wawaue watu wa kwetu.
11
Ndipo, walipotuma, wakawakusanya wakuu wote wa Wafilisti, wakasema: Lipelekeni Sanduku la Mungu wa Waisiraeli, lirudi mahali pake, lisituue sisi na watu wa kwetu! Kwani katika mji wote mzima walishikwa na kistusho cha kifo, kwani mkono wa Mungu uliwalemea sana huko.
12
Nao watu wasiokufa wakapigwa kwa majipu mabaya, vilio vya humo mjini vikafika mbinguni juu.
← Chapter 4
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 6 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31