bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Revelation 15
Revelation 15
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 14
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 16 →
1
Nikaona kielekezo kingine mbinguni kilicho kikubwa cha kustaajabu, ni malaika saba walioyashika mapigo saba ya mwisho, kwani katika hayo ndimo, makali ya Mungu yalimotimia.
2
Nikaona yaliyokuwa kama bahari ya kioo iliyochanganyika na moto. Nikawaona wale walioshinda katika maumivu ya yule nyama na ya kinyago chake na ya kiwango cha jina lake, walikuwa wamesimama kandokando ya bahari ya kioo wakishika mazeze ya Mungu.
3
Wakaimba wimbo wa Mose aliyekuwa mtumwa wake Mungu na wimbo wa Mwana kondoo wakisema: Kazi zako ni kuu na za kustaajabu, Bwana Mungu Mwenyezi! Njia zako ni za wongofu na za kweli, mfalme wa wamizimu!
4
Yuko asiyekuogopa wewe, Bwana? Au yuko asiyelitukuza Jina lako? Kwani wewe peke yako umetakata, wamizimu wote watakuja na kukuangukia mbele yako, kwa kuwa vimetokea waziwazi, unavyowapa watu wongofu.
5
Kisha nikaona Jumba la Mungu, lile Hema la Ushahidi lililoko mbinguni, lilivyofunguliwa.
6
Humo Jumbani mwa Mungu wakatoka wale malaika saba; walioyashika yale mapigo saba; walikuwa wamevaa nguo nyeupe zimetukazo, napo vifuani walikuwa wamefunga mikanda ya dhahabu.
7
Ndipo, mmoja wao wale nyama wanne alipowapa hao malaika saba vyano saba vya dhahabu vilivyojaa makali yake Mungu aliye mwenye kuishi kale na kale pasipo mwisho.
8
Kisha Jumba la Mungu likajaa moshi uliotoka kwenye utukufu wa Mungu na kwenye uwezo wake. Hakuwako hata mmoja aliyeweza kuingia Jumbani mwa Mungu, mpaka yale mapigo saba ya wale malaika saba yatakapotimilika.
← Chapter 14
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 16 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22