bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 11
Job 11
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 12 →
1
Kisha Sofari, Mnaamathi, akamjibu Yobu:
2
“Je, wingi huu wa maneno uachwe tu bila kujibiwa? Je, mtu wa maneno mengi aonesha kuwa hana hatia?
3
Je, kuropoka kwako kutanyamazisha watu? Na kama ukidhihaki, je, hamna atakayekuaibisha?
4
Wewe wadai: ‘Ninachosema ni kweli, naam, sina lawama mbele ya Mungu.’
5
Laiti Mungu angefungua kinywa chake akatoa sauti yake kukujibu!
6
Angekueleza siri za hekima, maana yeye ni mwingi wa maarifa. Jua kwamba Mungu hakuhesabu makosa yako yote.
7
“Je, unaweza kugundua siri zake Mungu na kujua ukomo wake yeye Mungu mwenye nguvu?
8
Ukuu wake wapita mbingu, wewe waweza nini? Kimo chake chapita Kuzimu, wewe waweza kujua nini?
9
Ukuu huo wapita marefu ya dunia, wapita mapana ya bahari.
10
Kama Mungu akipita, akamfunga mtu na kumhukumu, nani awezaye kumzuia?
11
Mungu anajua watu wasiofaa; akiona maovu yeye huchukua hatua.
12
“Mpumbavu hawezi kuwa na maarifa, pundamwitu ni pundamwitu tu.
13
“Yobu, ukiufanya moyo wako mnyofu, utainua mikono yako kumwomba Mungu!
14
Kama una uovu, utupilie mbali. Usikubali ubaya uwemo nyumbani mwako.
15
Hapo utajitokeza mbele ya watu bila lawama, utakuwa thabiti bila kuwa na hofu.
16
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita.
17
Maisha yako yatangaa kuliko jua la adhuhuri, giza lake litabadilika kuwa mngao wa pambazuko.
18
Utakuwa na ujasiri maana lipo tumaini; utalindwa na kupumzika salama.
19
Utalala bila kuogopeshwa na mtu; watu wengi watakuomba msaada.
20
Lakini waovu macho yao yatafifia, njia zote za kutorokea zitawapotea; tumaini lao la mwisho ni kukata roho!”
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 12 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42