bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 18
Job 18
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 17
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 19 →
1
Kisha Bildadi, Mshuhi, akajibu:
2
“Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema.
3
Kwa nini unatufanya kama ng'ombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbavu?
4
Wewe unajirarua mwenyewe kwa hasira zako. Kwani, dunia itaachwa tupu kwa ajili yako au miamba ihamishwe toka mahali pake?
5
“Naam, mwanga wa mtu mwovu utazimishwa; mwali wa moto wake hautangaa.
6
Nyumbani kwake mwanga ni giza, taa inayomwangazia itazimwa.
7
Hatua zake ndefu zitafupishwa; mipango yake itamwangusha chini.
8
Nyayo zake mwenyewe zitamtia mtegoni; kila akitembea anakumbana na shimo.
9
Mtego humkamata kisiginoni, tanzi humbana kabisa.
10
Amefichiwa kitanzi ardhini; ametegewa mtego njiani mwake.
11
Hofu kuu humtisha kila upande, humfuata katika kila hatua yake.
12
Alikuwa na nguvu, lakini sasa njaa imembana; maafa yako tayari kumwangusha.
13
“Ugonjwa mbaya unakula ngozi yake, maradhi ya kifo hula viungo vyake.
14
Anangolewa katika nyumba aliyoitegemea, na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
15
Nyumba yake tupu, wengine wataishi humo; madini ya kiberiti yametawanywa katika makao yake.
16
Yeye ni kama mti uliokauka mizizi, matawi yake juu yamenyauka.
17
Nchini hakuna atakayemkumbuka; jina lake halitatamkwa tena barabarani.
18
Ameondolewa mwangani akatupwa gizani; amefukuzwa mbali kutoka duniani.
19
Hana watoto wala wajukuu; hakuna aliyesalia katika makao yake.
20
Watu wa magharibi wameshangazwa na yaliyompata, hofu imewakumba watu wa mashariki.
21
Hayo ndio yanayowapata wasiomjali Mungu; hapo ndipo mahali pa wasiomjua Mungu.”
← Chapter 17
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 19 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42