bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 4
Job 4
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 3
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 5 →
1
Kisha Elifazi yule Mtemani akamjibu Yobu:
2
“Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema?
3
Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wanyonge.
4
Maneno yako yamewainua waliokufa moyo, umewaimarisha waliokosa nguvu.
5
Lakini sasa yamekupata, nawe ukakosa subira, yamekugusa, nawe ukafadhaika.
6
Je, kumcha Mungu si ndilo tegemeo lako? Na unyofu wako si ndilo tumaini lako?
7
Fikiri sasa: Nani asiye na hatia ambaye amepata kuangamia? Au, je, waadilifu wamepata kutupwa?
8
Nijuavyo mimi, wapandao uovu na ubaya huvuna hayohayo,
9
Mungu huwaangamiza hao kwa pumzi yake, hao huteketezwa kwa pigo la hasira yake.
10
Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa.
11
Simba mwenye nguvu hufa kwa kukosa mawindo, na watoto wa simba jike hutawanywa!
12
“Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia mnongono wake.
13
Nikiwa katika mawazo ya njozi za usiku, wakati usingizi mzito huwashika watu,
14
nilishikwa na hofu na kutetemeka, mifupa yangu yote ikagonganagongana.
15
Upepo ukapita mbele ya uso wangu, nywele za mwilini mwangu zikajisimamisha.
16
Kitu kilisimama tuli mbele yangu, nilipokitazama sikukitambua kabisa. Kulikuwa na umbo fulani mbele yangu; kulikuwa kimya, kisha nikasikia sauti.
17
Binadamu afaye aweza kuwa mwadilifu mbele ya Mungu? Mtu aweza kuwa safi mbele ya Muumba wake?
18
Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa;
19
sembuse binadamu viumbe vya udongo, watu ambao chanzo chao ni mavumbi, ambao waweza kupondwapondwa kama nondo!
20
Binadamu kwa masaa machache tu waweza kuangamia; huangamia milele bila kuacha hata alama yao!
21
Iwapo uzi unaoshikilia uhai wao ukikatwa wao hufa tena bila kuwa na hekima.
← Chapter 3
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 5 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42