bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 27
Job 27
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 26
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 28 →
1
Yobu akaendelea kutoa hoja yake, akasema:
2
“Naapa kwa Mungu aliye hai, aliyeniondolea haki yangu, Mungu Mwenye Nguvu aliyeifanya nafsi yangu iwe na uchungu!
3
Naapa kuwa kadiri ninavyoweza kupumua, roho ya Mungu ikiwa bado ndani yangu;
4
midomo yangu kamwe haitatamka uongo, wala ulimi wangu kusema udanganyifu.
5
Siwezi kabisa kusema kuwa nyinyi mnasema ukweli mpaka kufa kwangu nasema sina hatia.
6
Nashikilia unyofu wangu, wala sitauacha; katika dhamiri yangu sina cha kunihukumu maishani mwangu.
7
“Adui yangu na apate adhabu ya mwovu, anayeinuka kunilaumu aadhibiwe kama mbaya.
8
Asiyemcha Mungu ana tumaini gani, Mungu anapomkatilia mbali, anapomwondolea uhai wake?
9
Je, atakapokumbwa na taabu, Mungu atasikia kilio chake?
10
Mwovu hawezi kufurahi mbele ya Mungu Mwenye Nguvu; hataweza kudumu akimwomba Mungu.
11
Nitawafundisheni kitendo cha Mungu kilivyo, sitawaficheni mipango yake Mungu Mwenye Nguvu.
12
Lakini nyinyi mnajua jambo hilo vizuri sana! Mbona, basi mnaongea upuuzi?
13
“Hiki ndicho Mungu alichomwekea mtu mwovu, alichopangiwa mdhalimu kupata ni hiki:
14
Watoto wake hata wawe wengi watauawa kwa upanga; wazawa wake hawatakuwa na chakula cha kutosha.
15
Wale watakaopona watakufa kwa maradhi mabaya, na wajane wao hawatawaombolezea.
16
Hata akirundika fedha kama mavumbi, na mavazi kama udongo wa mfinyanzi,
17
na arundike tu, lakini mnyofu ndiye atakayeyavaa, na fedha yake watagawana watu wasio na hatia.
18
Nyumba ajengayo mwovu ni kama utando wa buibui, ni kama kibanda cha mlinzi shambani.
19
Huenda kulala tajiri, lakini ni mara ya mwisho; atafungua macho yake, na utajiri wake umetoweka!
20
Vitisho humvamia kama mafuriko; usiku hukumbwa na kimbunga.
21
Upepo wa mashariki humpeperusha akatoweka; humfagilia mbali kutoka makao yake.
22
Upepo huo humvamia bila huruma; atajaribu kuukimbia lakini mbio za bure.
23
Upepo humzomea akimbiapo, na kumfyonya toka mahali pake.
← Chapter 26
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 28 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42