bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 8
Job 8
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 9 →
1
Ndipo Bildadi, Mshuhi, akamjibu Yobu:
2
“Utasema mambo haya mpaka lini? Mpaka lini maneno yako yatakuwa matupu kama upepo?
3
Kwani, wadhani Mungu hupotosha haki? Au, je, Mungu Mwenye Nguvu hupotosha ukweli?
4
Kama watoto wako wamemkosea Mungu, yeye amewalipiza matokeo ya uhalifu wao.
5
Kama utamtafuta Mungu ukamsihi huyo Mungu mwenye nguvu,
6
kama wewe u safi moyoni na mnyofu, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili.
7
Na ingawa ulianza kuishi kwa unyonge maisha yako ya baadaye yatakuwa ya fahari zaidi.
8
Jifunze tafadhali kwa wale waliotutangulia, zingatia mambo waliyogundua hao wazee.
9
Sisi ni watu wa juzijuzi tu, hatujui kitu; siku zetu duniani ni kivuli kipitacho.
10
Lakini wao watakufunza na kukuambia, mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao:
11
Mafunjo huota tu penye majimaji, matete hustawi mahali palipo na maji.
12
Hata kama yamechanua na bila kukatwa, yakikosa maji hunyauka kabla ya mimea mingine.
13
Ndivyo walivyo wote wanaomsahau Mungu. Tumaini la wasiomwamini Mungu litapotea.
14
Tegemeo lao huvunjikavunjika, tumaini lao ni utando wa buibui.
15
Wanaegemea nyumba yao lakini haitasimama, huishikilia lakini haidumu.
16
Jua litokapo yeye hustawi; hueneza matawi yake bustanini mwake.
17
Mizizi yake hujisokotasokota kwenye mawe naye aenda kuchunguza ndani ya mwamba.
18
Lakini akiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatamkana yakisema: ‘Sijapata kukuona.’
19
Tazama, huo ndio mwisho wa furaha ya mtu huyo, na mahali pao patachipua wengine.
20
“Tazama! Mungu hatamkataa mtu asiye na hatia, wala kuwasaidia waovu.
21
Ila atakijaza kinywa chako kicheko, na midomo yako sauti ya furaha.
22
Wale wakuchukiao wataingiwa na aibu, makao ya waovu yatatoweka kabisa.”
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 9 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42