bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 23
Job 23
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 22
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 24 →
1
Kisha Yobu akajibu:
2
“Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka.
3
Laiti ningejua mahali nitakapompata Mungu! Ningeweza kwenda hata karibu naye.
4
Ningeleta kesi yangu mbele yake, na kumtolea hoja yangu.
5
Ningeweza kujua atakachonijibu, na kuelewa atakachoniambia.
6
Je, angeshindana nami kwa nguvu zake zote? La! Bila shaka angenisikiliza.
7
Yeye aweza kuzungumza na mtu mnyofu, Mungu, hakimu wangu angeamua kuwa sina hatia milele.
8
“Tazama, nakwenda mbele, lakini simpati, narudi nyuma, lakini siwezi kumwona.
9
Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.
10
Lakini yeye anajua njia ninayofuata; atakapomaliza kunijaribu nitatoka humo safi kama dhahabu.
11
Nafuata nyayo zake kwa uaminifu njia yake nimeishikilia wala sikupinda.
12
Kamwe sijaacha kushika amri yake, maneno yake nimeyatunza moyoni mwangu.
13
Lakini yeye habadiliki, nani awezaye kumgeuza? Analotaka, ndilo analofanya!
14
Atanijulisha yote aliyonipangia; na mengi kama hayo yamo akilini mwake.
15
Hivyo, natetemeka kwa hofu mbele yake; hata nikifikiria tu napatwa na woga.
16
Mungu ameufanya moyo wangu ufifie, Mungu Mwenye Nguvu amenitia hofu.
17
Maana nimekumbwa na giza, na giza nene limetanda usoni mwangu.
← Chapter 22
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 24 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42