bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 16
Job 16
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 15
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 17 →
1
Hapo Yobu akajibu:
2
“Mambo kama hayo nimeyasikia mengi; nyinyi ni wafariji duni kabisa!
3
Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani kinachowachochea kujibu?
4
Kama nyinyi mngekuwa mimi, na mimi nyinyi, ningeweza kusema kama nyinyi ningeweza kubuni maneno dhidi yenu, na kutikisa kichwa changu.
5
Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza.
6
“Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki.
7
Kweli Mungu amenichakaza ameharibu kila kitu karibu nami.
8
Amenifanya ninyauke, na huo ni ushindi dhidi yangu. Kukonda kwangu kumenikabili na kushuhudia dhidi yangu.
9
Amenirarua kwa hasira na kunichukia; amenisagia meno; na adui yangu ananikodolea macho.
10
Watu wananidhihaki na kunicheka; makundi kwa makundi hunizunguka, na kunipiga makofi mashavuni.
11
Mungu amenitia mikononi mwa wajeuri, na kunitupa mikononi mwa waovu.
12
Nilikuwa nimestarehe, lakini akanivunjavunja, alinikaba shingo na kunipasua vipandevipande; alinifanya shabaha ya mishale yake,
13
akanipiga mishale kutoka kila upande. Amenipasua figo bila huruma, na nyongo yangu akaimwaga chini.
14
Hunivunja na kunipiga tena na tena; hunishambulia kama askari.
15
“Nimejishonea mavazi ya gunia, fahari yangu nimeibwaga mavumbini.
16
Uso wangu ni mwekundu kwa kulia, kope zangu zimekuwa nyeusi ti;
17
ingawa sijafanya dhuluma kwa mkono wangu, na sala zangu kwa Mungu ni safi.
18
“Ewe dunia, usiifunike damu yangu iliyomwagika; kilio changu kienee kila mahali.
19
Nina hakika ninaye shahidi wangu mbinguni, mwenye kunitetea yuko huko juu.
20
Rafiki zangu wanidharau; nabubujika machozi kumwomba Mungu.
21
Laiti mtu angenitetea mbele ya Mungu, kama ifanyikavyo duniani kati za watu wawili.
22
Naam, miaka yangu ni michache, nami nitakwenda huko ambako sitarudi.
← Chapter 15
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 17 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42