bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
Job 37
Job 37
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 36
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 38 →
1
“Kutokana na hayo, moyo wangu unatetemeka, na kuruka kutoka mahali pake.
2
Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake.
3
Huufanya uenee chini ya mbingu yote, umeme wake huueneza pembe zote za dunia.
4
Ndipo sauti yake hunguruma, sauti ya Mungu hunguruma kwa fahari na muda huo wote umeme humulikamulika.
5
Mungu hupiga radi ya ajabu kwa sauti yake, hufanya mambo makuu tusiyoweza kuyaelewa.
6
Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya nchi!’ Na manyunyu na mvua, ‘Nyesha kwa nguvu.’
7
Hufunga shughuli za kila mtu; ili watu wote watambue kazi yake.
8
Wanyama wa porini hurudi mafichoni mwao, na hubaki katika mapango yao.
9
Dhoruba huvuma kutoka chumba chake, na baridi kali kutoka ghalani mwake.
10
Kwa pumzi ya Mungu barafu hutokea, uso wa maji huganda kwa haraka.
11
Mungu hulijaza wingu manyunyu mazito; mawingu husambaza umeme wake.
12
Kwa amri yake vyote huzunguka huku na huko, kutekeleza kila kitu anachokiamuru, kufanyika katika ulimwengu wa viumbe.
13
Mungu hutekeleza matakwa yake duniani; iwe ni kwa ajili ya kuwaadhibu watu, au kwa ajili ya kuonesha upendo wake.
14
“Unapaswa kusikiliza Yobu; nyamaza, usikilize maajabu ya Mungu.
15
Je, wajua jinsi Mungu anavyovipa amri yake, na kufanya umeme wa mawingu yake ungae?
16
Je, wajua jinsi mawingu yanavyoelea angani? Ndizo kazi za ajabu za yule aliye mkamilifu wa maarifa!
17
Wewe wajiona umevaa nguo za joto sana, wakati upepo wa kusi unaivamia nchi.
18
Je, waweza, kuzitandaza mbingu kama yeye zikawa ngumu kama kioo cha shaba?
19
Tufundishe tutakachomwambia Mungu; maana hoja zetu si wazi, tumo gizani.
20
Je, nani anathubutu kumwambia: Nataka kuongea? Nani aseme apate balaa?
21
“Ghafla mtu hawezi tena kuona waziwazi: Jua limefichika nyuma ya mawingu, na upepo umefagia anga!
22
Mngao mzuri hutokea kaskazini; Mungu amezungukwa na utukufu wa kutisha.
23
Mungu Mwenye Nguvu asiyeweza kufikiwa na mtu, uwezo na uadilifu wake ni mkuu, amejaa wema wala hapotoshi haki kamwe.
24
Kwa hiyo, watu wote humwogopa; yeye hamjali mtu yeyote mwenye kiburi.”
← Chapter 36
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 38 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42