bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 1
1 Chronicles 1
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 2 →
1
Adamu, Seti, Enosi,
2
Kenani, Mahalaleli, Yaredi,
3
Henoki, Metusela, Lameki,
4
Noa, Semu, Hamu na Yafeti.
5
Wana wa Yafeti: Gomeri na Magogi na Madai na Yawani na Tubali na Meseki na Tirasi.
6
Nao wana wa Gomeri: Askenazi na Rifati na Togarma.
7
Nao wana wa Yawani: Elisa na Tarsisa, Wakiti na Wadodani.
8
Wana wa Hamu: Kusi na Misri, Puti na Kanaani.
9
Nao wana wa Kusi: Seba na Hawila na Sabuta na Rama na Sabuteka. Nao wana wa Rama: Saba na Dedani.
10
Naye Kusi akamzaa Nimurodi; ndiye aliyeanza kuwa mwenye nguvu katika nchi.
11
Naye Misri akawazaa Waludi na Waanami na Walehabi na Wanafutuhi
12
na Wapatirusi na Wakasiluhi, ambao Wafilisti walitoka kwao, na Wakafutori.
13
Naye Kanaani akamzaa Sidoni, mwanawe wa kwanza, na Hiti;
14
tena Myebusi na Mwamori na Mgirgasi,
15
na Mhiwi na Mwarki na Msini,
16
na Mwarwadi na Msemari na Mhamati.
17
Wana wa Semu: Elamu na Asuri na Arpakisadi na Ludi na Aramu na Usi na Huli na Geteri na Meseki.
18
Naye Arpakisadi akamzaa Sela, naye Sela akamzaa Eberi.
19
Naye Eberi akazaliwa wana wawili: jina lake wa kwanza ni Pelegi (Gawanyiko), kwa kuwa siku zake ndipo, nchi hii ilipogawanyika; nalo jina la nduguye ni Yokitani.
20
Naye Yokitani akamzaa Almodadi na Selefu na Hasarmaweti na Yera,
21
na Hadoramu na Uzali na Dikla,
22
na Ebali na Abimaeli na Saba,
23
na Ofiri na Hawila na Yobabu; hawa wote ndio wana wa Yokitani.
24
Semu, Arpakisadi, Sela,
25
Eberi, Pelegi, Reu,
26
Serugi, Nahori, Tera,
27
Aburamu naye ndiye Aburahamu.
28
Wana wa Aburahamu ni Isaka na Isimaeli.
29
Navyo vizazi vyao ni hivi: Mwanawe wa kwanza wa Isimaeli ni Nebayoti, tena Kedari na Adibeli na Mibusamu,
30
Misima na Duma, Masa, Hadadi na Tema,
31
Yeturi, Nafisi na Kedima. Hawa ndio wana wa Isimaeli.
32
Nao wana wa Ketura, suria yake Aburahamu, ni hawa: Akamzaa Zimurani na Yokisani na Medani na Midiani na Isibaki na Sua. Nao wana wa Yokisani ni Saba na Dedani.
33
Nao wana wa Midiani ni Efa na Eferi na Henoki na Abida na Eldaa. Hawa wote ndio wana wa Ketura.
34
Kisha Aburahamu akamzaa Isaka; nao wana wa Isaka ni Esau na Isiraeli.
35
Wana wa Esau: Elifazi, Reueli na Yeusi na Yalamu na Kora.
36
Wana wa Elifazi: Temani na Omari na Sefi na Gatamu, Kenazi na Timuna na Amaleki.
37
Wana wa Reueli: Nahati, Zera, Sama na Miza.
38
Nao wa Seiri: lotani na Sobali na Siboni na Ana na Disoni na Eseri na Disani.
39
Nao wana wa Lotani: Hori na Homamu, naye umbu lake Lotani ni Timuna.
40
Wana wa Sobali: Aliani na Manahati na Ebali, Sefi na Onamu. Nao wana wa Siboni ni Aya na Ana.
41
Wana na Ana: Disoni, nao wana wa Disoni: Hamurani na Esibani na Itirani na kerani.
42
Wana wa Eseri: Bilihani na Zawani na Yakani. Wana wa Disoni: Usi na Arani.
43
Nao hawa ndio wafalme walioshika ufalme katika nchi ya Edomu, wana wa Isiraeli walipokuwa hawajapata bado mfalme: Bela, mwana wa Beori; nalo jina la mji wake ni Dinihaba.
44
Bela alipokufa, Yobabu, mwana wa Zera aliyetoka Bosira, akawa mfalme mahali pake.
45
Yobabu alipokufa, Husamu wa nchi ya Watemani akawa mfalme mahali pake.
46
Husamu alipokufa, Hadadi, mwana wa Bedadi aliyewapiga Wamidiani katika mbuga za Wamoabu, akawa mfalme mahali pake; nalo jina la mji wake ni Awiti.
47
Hadadi alipokufa, Samula aliyetoka Masireka akawa mfalme mahali pake.
48
Samula alipokufa, Sauli aliyetoka Rehoboti wa Mtoni akawa mfalme mahali pake.
49
Sauli alipokufa, Baali-Hanani, mwana wa Akibori, akawa mfalme mahali pake.
50
Baali-Hanani alipokufa, Hadadi akawa mfalme mahali pake, nalo jina la mji wake ni Pai; nalo jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matiredi, binti Mezahabu.
51
Hadadi alipokufa, wakawa majumbe wa Edomu jumbe Timuna, jumbe Alia, jumbe Yeteti,
52
jumbe Oholibama, jumbe Ela, jumbe Pinoni,
53
jumbe Kenazi, jumbe Temani, jumbe Mibusari,
54
jumbe Magidieli, jumbe Iramu; hawa ndio waliokuwa majumbe wa Edomu.
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 2 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29