bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 26
1 Chronicles 26
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 25
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 27 →
1
Mafungu ya walinda malango yalikuwa haya: kwao wa Kora alikuwa Meselemia, mwana wa kore, naye alikuwa mmoja wao wana wa Asafu.
2
Wana wa Meselemia walikuwa wa kwanza Zakaria, wa pili Yediaeli, wa tatu Zebadia, wa nne Yatinieli;
3
wa tano Elamu, wa sita Yohana, wa saba Elihoenai.
4
Wana wa Obedi-Edomu walikuwa wa kwanza Semaya, wa pili Yozabadi, wa tatu Yoa, wa nne Sakari, wa tano Netaneli;
5
wa sita Amieli, wa saba Isakari, wa nane Peultai, kwani Mungu alimbariki.
6
Naye mwanawe Semaya alikuwa amezaliwa wana walioitawala milango yao, kwani walikuwa waume wenye nguvu.
7
Wana wa Semaya walikuwa Otini na Refaeli na Obedi, tena Elizabadi na ndugu zake Elihu na Semakia waliokuwa wenye nguvu.
8
Hawa wote walikuwa miongoni mwao wana wa Obedi-Edomu, wao na wana wao na ndugu zao walikuwa watu wenye nguvu walioufalia huo utumishi; hao wa Obedi-Edomu walikuwa 62.
9
Naye Meselemia alikuwa na wana na ndugu waliokuwa wenye nguvu, nao walikuwa 18.
10
Naye Hosa aliyekuwa mmoja wao wana wa Merari alikuwa na wana, mkuu wao alikuwa Simuri, lakini siye wa kwanza, lakini baba yake alimweka kuwa mkuu;
11
wa pili alikuwa Hilkia, wa tatu Tebalia, wa nne Zakaria. Wana wote wa Hosa pamoja na ndugu zake walikwua 13.
12
Katika haya mafungu ya walinda malango wakuu wao walikuwa na zamu zao za kutumika nyumbani mwa Bwana sawasawa kama ndugu zao.
13
Walipoipigia kura za lango kwa lango, waliwapigia wadogo sawasawa kama wakubwa.
14
Hapo kura ya maawioni kwa jua ikamwangukia Selemia; hata mwanawe Zakaria aliyekuwa mwenye akili za kukata mashauri wakampigia kura, nayo kura yake ikaangukia kaskazini.
15
Ya Obedi-Edomu ikaangukia kusini, nayo ya wanawe ikaiangukia nyumba ya vilimbiko.
16
Ya Supimu na ya Hosa ikaangukia machweoni kwa jua penye lango la Saleketi, ngazi ya kupandia juu ilipo; hapo vilifuatana kilindo na kilindo.
17
Upande wa maawioni kwa jua walikuwa kila siku Walawi sita, kaskazini kila siku wanne, kusini kila siku wanne, napo penye nyumba ya vilimbiko wawili wawili.
18
Penye kijumba kilichojengwa kando upande wa machweoni kwa jua walikuwa wanne penye ngazi, tena wawili hapo penye chumba hicho.
19
Haya ndiyo mafungu ya walinda malango waliokuwa wana wa Kora na wana wa Merari.
20
Kwao Walawi Ahia akawekwa kuviangalia vilimbiko vya nyumba ya Mungu na vilimbiko vitakatifu.
21
Kwao wana wa Ladani ndio wana wa Gersoni, aliowazaa Ladani; waliokuwa wakuu wao hiyo milango ya Ladani, mwana wa Gersoni, ndio wa Yahieli.
22
Wana wa Yehieli, Zetamu na nduguye Yoeli, wakawekwa kuviangalia vilimbiko vya nyumba ya Bwana.
23
Kwao wa Amuramu na kwao wa Isihari na kwao wa Heburoni na kwao wa Azieli
24
ndiko, Sebueli, mwana wa Gersomu, mwana wa Mose, alikokuwa mkuu wao walioviangalia vilimbiko.
25
Tena kwao ndugu zake waliozaliwa na Eliezeri alikuwa mwanawe Rehabia, mwanawe alikuwa Yesaya, mwanawe alikuwa Yoramu, mwanawe alikuwa Zikiri, mwanawe alikuwa Selomiti.
26
Huyu Selomiti na ndugu zake wakawekwa kuviangalia vilimbiko vitakatifu, alivyovitakasa mfalme Dawidi pamoja na wakuu wa milango na wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na wakuu wa vikosi.
27
Walivitoa katika mateka ya vita, wakavitakasa kuziongeza mali za nyumba ya Bwana.
28
Navyo vyote, alivyovitakasa mtazamaji Samweli na Sauli, mwana wa Kisi, na Abineri, mwana wa Neri, na Yoabu, mwana wa Seruya, vyote pia vikatiwa mikononi mwa Selomiti na ndugu zake.
29
Kwao wa Isihari waliwekwa Kenania na wanawe kufanya kazi za huko nje kwa Waisiraeli, wawe wenye amri na waamuzi wao.
30
Kwao wa Heburoni waliwekwa Hasabia na ndugu zake, watu 1700 wenye nguvu, kuwaangalia Waisiraeli waliokuwako ng'ambo ya huku ya Yordani, upande wa machweoni kwa jua, wafanye kazi zote za Bwana, tena wamtumikie mfalme.
31
Kwao wa Heburoni alikuwa naye Yeria aliyekuwa mkuu wao wa Heburoni kwa vizazi vyao na kwa milango yao; walipohesabiwa katika mwaka wa arobaini wa ufalme wa Dawidi, wakaonekana kwao mafundi wa vita wenye nguvu mle Yazeri wa Gileadi.
32
Nao ndugu zake waliokuwa wenye nguvu, watu 2700, nao walikuwa wakuu wa milango. Hawa mfalme Dawidi aliwaweka kuwaangalia watu wa Rubeni na wa Gadi nao wa nusu ya shina la Manase, wafanye mambo yote ya Mungu na mambo ya mfalme yawapasayo.
← Chapter 25
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 27 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29