bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 14
1 Chronicles 14
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 13
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 15 →
1
Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Dawidi na miti ya miangati na waashi na maseremala, wamjengee Dawidi nyumba.
2
Ndipo, Dawidi alipojua, ya kuwa Bwana amemweka kweli kuwa mfalme wao Waisiraeli, kwani ufalme wake ukaja kutukuka zaidi kwa ajili ya ukoo wake wa Waisiraeli.
3
Kisha Dawidi akachukua wanawake wengine mle Yerusalemu, Dawidi akazaa tena wana wa kiume na wa kike.
4
Haya ndiyo majina ya wana, waliozaliwa Yerusalemu: Samua na Sobabu, Natani na Salomo,
5
Ibuhari na Elisua na Elpeleti,
6
na Noga na Nefegi na Yafia,
7
na Elisama na Beliada na Elifeleti.
8
Wafilisti waliposikia, ya kuwa Dawidi amepakwa mafuta, awe mfalme wao Waisiraeli wote, ndipo, Wafilisti wote walipopanda kumtafuta Dawidi. Dawidi alipovisikia akatoka kukutana nao.
9
Wafilisti wakaja, wakajieneza Bondeni kwa Majitu.
10
Dawidi akamwuliza Mungu kwamba: Nikipanda kupigana na Wafilisti, utawatia mkononi mwangu? Bwana akamwambia: Panda! Nitawatia mkononi mwako.
11
Ndipo, walipopanda Baali-Perasimu; Dawidi alipowapiga huko, akasema yeye Dawidi: Mungu amewaatua adui zangu kwa nguvu ya mkono wangu, kama maji yanavyoatua ukingo. Kwa sababu hii wakapaita mahali pale Baali-Perasimu (Maatuko).
12
Kwa kuwa wale waliiacha huko miungu yao, Dawidi akaagiza iteketezwe kwa moto.
13
Lakini Wafilisti wakapanda tena na kujieneza bondeni kulekuke.
14
Naye Dawidi alipomwuliza Mungu tena, Mungu akamwambia: Usipande kuwafuata, ila uzunguke hapo, walipo, upate kuwajia ukitoka juu, misandarusi iliko.
15
Hapo, utakaposikia vileleni kwa misandarusi shindo kama ya watu wapitao, basi, hapo watokee kupigana nao! Kwani ndipo, Mungu atakapotokea, akutangulie kuyapiga majeshi ya Wafilisti.
16
Dawidi akafanya, kama Mungu alivyomwagiza, wakayapiga majeshi ya Wafilisti toka Gibeoni hata Gezeri.
17
Jina lake Dawidi likaenea katika nchi zote, Bwana akawatia wamizimu wote woga wa kumwogopa.
← Chapter 13
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 15 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29