bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 8
1 Chronicles 8
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 9 →
1
Benyamini akamzaa mwanawe wa kwanza Bela, wa pili Asibeli, wa tatu Ahara,
2
wa nne Noha, wa tano Rafa.
3
Wanawe Bela walikuwa: Adari na Gera na Abihudi
4
na Abisua na Namani na Ahoa
5
na Gera na Sefufani na Huramu.
6
Nao hawa ndio wana wa Ehudi; ndio waliokuwa vichwa vya milango ya baba zao waliokaa Geba, waliowahamisha kwenda Manahati:
7
Namani na Ahia na Gera; huyu ndiye aliyewahamisha. Kisha akamzaa Uza na Ahihudi.
8
Saharaimu alizaa katika mashamba ya Wamoabu alipokwisha kuwatuma wakeze Husimu na Baara kwenda zao;
9
kisha akazaa na mkewe Hodesi: Yobabu na Sibia na Mesa na Malkamu
10
na Yeusi na Sakia na Mirma. Hawa ndio wanawe waliokuwa vichwa vya milango ya baba zao.
11
Pamoja na Husimu alikuwa amemzaa Abitubu na Elpali.
12
Nao wana wa Elpali: Eberi na Misamu na Semeri; huyu ndiye aliyejenga Ono na Lodi na vijiji vyake.
13
Naye Beria na Sema ndio waliokuwa vichwa vya milango ya baba zao iliyokaa Ayaloni, walipokwisha kuwafukuza wenyeji wa Gati.
14
Nao ndugu zao ni Sasaki na Yeremoti.
15
Naye Zebadia na Aradi na Ederi
16
na Mikaeli na Isipa na Yoha wlaikuwa wana wa Beria.
17
Naye Zebadia na Mesulamu na Hiziki na Heberi
18
na Isimerai na Izilia na Yobabu walikuwa wana wa Elpali.
19
Naye Yakimu na Zikiri na Zabudi
20
na Elienai na Siltai na Elieli
21
na Adaya na Beraya na Simurati walikuwa wana wa Simei.
22
Naye Isipani na Eberi na Elieli
23
na Abudoni na Zikiri na Hanani
24
na Hanania na Elamu na Anitotia
25
na Ifudia na Penueli walikuwa wana wa Sasaki.
26
Naye Samuserai na Seharia na Atalia
27
na Yaresia na Elia na Zikiri walikuwa wana wa Yerohamu.
28
Hawa ndio vichwa vya milango ya baba zao na wakuu wa vizazi vyao, nao walikaa Yerusalemu.
29
Huko Gibeoni alikaa babake Gibeoni, nalo jina la mkewe ni Maka.
30
Naye mwanawe wa kwanza alikuwa Abudoni, tena Suri na Kisi na Baali na Nadabu
31
na Gedori na Ayo na Zekeri
32
na Mikloti aliyemzaa Simea. Nao hawa walikaa ng'ambo ya ndugu zao kule Yerusalemu kwao ndugu zao.
33
Naye Neri akamzaa Kisi, naye Kisi akamzaa Sauli, naye Sauli akamzaa Yonatani, tena Malkisua na Abinadabu na Esibaali.
34
Naye mwana wa Yonatani alikuwa Meribu-Baali, naye Meribu-Baali akamzaa Mika.
35
Nao wana wa Mika ni Pitoni na Meleki na Tarea na Ahazi.
36
Ahazi akamzaa Yoada, naye Yoada akamzaa Alemeti, tena Azimaweti na Zimuri, naye Zimuri akamzaa Mosa.
37
Naye Mosa akamzaa Bina; mwanawe huyo alikuwa Rafa, mwanawe huyo Elasa, mwanawe huyo Aseli.
38
Naye Aseli alikuwa mwenye wana sita, nayo haya ndiyo majina yao: Azirikamu, Bokeru na Isimaeli na Saria na Obadia na Hanani; hawa wote ndio wana wa Aseli.
39
Nao wana wa ndugu yake Eseki: wa kwanza Ulamu, wa pili Yeusi, wa tatu Elifeleti.
40
Wana wa Ulamu walikuwa mafundi wa vita wenye nguvu waliojua kuvuta pindi, nao walikuwa wenye wana wa wajukuu wengi, hesabu yao ni 150. Hawa wote walikuwa wana wa wana wa Benyamini.
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 9 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29