bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 13
1 Chronicles 13
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 12
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 14 →
1
Dawidi akafanya shauri nao wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na watawalaji wote,
2
kisha Dawidi akauambia mkutano wote wa Waisiraeli: Mkiona kuwa vema, tena vikiwa vimetoka kwake Bwana Mungu wetu, na tutume pande zote po pote kwa ndugu zetu waliosalia katika nchi zote za Isiraeli, hata kwa watambikaji na kwa Walawi katika miji yao, wanamokaa, kuwaambia, wakusanyike kwetu,
3
twende kulichukua Sanduku la Mungu wetu, tulirudishe kwetu, kwani siku za Sauli hatukulitafuta.
4
Watu wote wa huo mkutano wakaitikia, wafanye hivyo, kwa kuwa neno hilo lilikuwa limenyoka machoni pao watu wote.
5
Kwa hiyo Dawidi akawakusanya Waisiraeli wote toka Sihori katika Misri hata kufika Hamati, waje kulichukua Sanduku la Mungu huko Kiriati-Yearimu.
6
Kisha Dawidi na Waisiraeli wote wakapanda kwenda Bala, ndio Kiriati-Yearimu ulio mji wa Yuda, kulichukua huko Sanduku la Mungu Bwana akaaye juu ya Makerubi, kwa maana hili liliitwa kwa Jina lake.
7
Wakalipandisha Sanduku la Mungu katika gari jipya wakilitoa katika nyumba ya Abinadabu, nao Uza na Ayo wakaliendesha hilo gari.
8
Dawidi mwenyewe na Waisiraeli wote wakalitangulia na kucheza mbele ya Mungu kwa nguvu zote na kumwimbia pamoja na kupiga mazeze na mapango na patu na matoazi na matarumbeta.
9
Walipofika pa kupuria pake Kidoni, Uza akapeleka mkono, alishike Sanduku, kwa kuwa ng'ombe walijikwaa.
10
Ndipo, makali ya Bwana yalipomwakia Uza, akampiga, kwa kuwa amelipelekea hilo Sanduku mkono wake, akafa papo hapo mbele ya Mungu.
11
Hapo Dawidi akaingiwa na uchungu, ya kuwa Bwana amempiga Uza pigo kama hilo, wakapaita mahali pale Peresi-Uza (Pigo la Uza) mpaka siku hii ya leo.
12
Siku hiyo Dawidi akashikwa na woga wa kumwogopa Mungu kwamba: Nitawezaje kuliingiza Sanduku la Mungu kwangu?
13
Kwa hiyo Dawidi hakuliingiza Sanduku hilo kwake mjini kwa Dawidi, akashika njia nyingine, akaliweka nyumbani mwa Obedi-Edomu wa Gati.
14
Humo nyumbani mwa Obedi-Edomu Sanduku la Mungu likakaa kwenye mlango wake miezi mitatu, naye Bwana akaubariki mlango wa Obedi-Edomu nayo yote yaliyokuwa yake.
← Chapter 12
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 14 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29