bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 23
1 Chronicles 23
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 22
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 24 →
1
Dawidi alipokuwa mzee mwenye kushiba siku za kuwapo, akampa mwanawe Salomo ufalme wa Waisiraeli,
2
akawakusanya wakuu wote wa Waisiraeli na watambikaji na Walawi.
3
Hapo Walawi waliomaliza miaka thelathini na zaidi walipohesabiwa, ikawa hesabu yao ya vichwa vya waume 38000.
4
Katika hawa wakapewa watu 24000 kuziangalia kazi za nyumba ya Bwana, watu 6000 kuwa wenye amri na waamuzi,
5
watu 4000 kuwa walinda malango, tena watu 4000 kumtukuza Bwana kwa vyombo, Dawidi alivyovitengeneza vya kumtukuza Bwana.
6
Kisha Dawidi akawagawanya kuwa mafungu yao wana wa Lawi, ndio Gersoni, Kehati na Merari.
7
Wagersoni ni Ladani na Simei.
8
Wana wa Ladani walikuwa watatu: mkubwa Yehieli, tena Zetamu na Yoeli.
9
Wana wa simei walikuwa watatu: Selomiti na Hazieli na Harani. Hawa ndio wakubwa wa mlango wa Ladani.
10
Wana wa Simei walikuwa: Yahati na Zina na Yeusi na Beria, hawa wanne walikuwa wana wa Simei.
11
Naye Yahati alikuwa mkubwa, naye Ziza wa pili; lakini Yeusi na Beria hawakuwa na wana wengi, kwa hiyo walihesabiwa kuwa mlango mmoja.
12
Wana wa Kehati walikuwa wanne: Amuramu, Isihari, Heburoni na Uzieli.
13
Wana wa Amuramu walikuwa Haroni na Mose. Haroni akatengwa na kutakaswa, apatumikie Patakatifu Penyewe, yeye na wanawe kale na kale, wamvukizie Bwana kwa utumishi wao, tena wawabariki watu katika Jina lake kale na kale.
14
Naye Mose akawa mtu wa Mungu, wanawe wakatajwa majina yao penye shina la Lawi.
15
Wana wa Mose walikuwa Gersomu na Eliezeri.
16
Wana wa Gersomu mkubwa wao alikuwa Sebueli.
17
Wana wa Eliezeri mkubwa wao alikuwa Rehabia; yeye Eliezeri hakuwa na wana wengine, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi zaidi.
18
Wana wa Isahari mkubwa wao alikuwa Selomiti.
19
Wana wa Heburoni mkubwa wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekamamu.
20
Wana wa Uzieli mkubwa wao alikuwa Mika, wa pili Isia.
21
Wana wa Merari walikuwa Mahali na Musi, nao wana wa Mahali walikuwa Elazari na Kisi.
22
Elazari akafa pasipo kupata wana wa kiume, alipata wa kike tu, nao wana wa Kisi wakawaoa hao ndugu zao.
23
Wana wa Musi walikuwa watatu: Mahali na Ederi na Yeremoti.
24
Hawa ndio wana wa Lawi kwa milango yao nao wakuu wa milango, kama walivyoandikwa kichwa kwa kichwa kwa hesabu ya majina yao, ndio waliofanyia nyumba ya Bwana kazi za utumishi, waliomaliza miaka ishirini na zaidi;
25
kwani Dawidi alisema: Kwa kuwa Bwana Mungu wa Isiraeli ameupatia ukoo wake utulivu, tena kwa kuwa atakaa Yerusalemu kale na kale,
26
sasa Walawi hawana tena kazi za kulichukua hilo Kao na vyombo vyake vyote vya kulitumikia.
27
Kwani kwa maagizo ya Dawidi ya mwisho wana wa Lawi walihesabiwa wao waliomaliza miaka ishirini na zaidi.
28
Tangu hapo kazi zao zikawa kuwasaidia wana wa Haroni, wakiitumikia nyumba ya Bwana, waziangalie nyua na vyumba, wayasafishe matakatifu yote; hizi zikawa kazi zao za utumishi wa nyumba ya Mungu.
29
Tena iliwapasa kuiandaa mikate, aliyowekewa Bwana, na unga uliopepetwa vema wa vilaji vya tambiko na wa maandazi membamba yasiyochachwa na wa vikate vilivyochomwa katika bati la chuma na wa vitumbua na kuviangalia vibaba na vipimo vyote pia.
30
Tena iliwapasa kusimama siku kwa siku kulipokucha, wakimshukuru Bwana na kumtukuza, na vilevile kulipokuchwa.
31
Tena iliwapasa kumtolea Bwana ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima za siku za mapumziko na za miandamo ya mwezi na za sikukuu kwa hesabu zao zilizowekwa za kumtolea Bwana pasipo kukoma.
32
Hivyo walishika zamu ya Hema la Mkutano na zamu ya Patakatifu na zamu ya kuwasaidia ndugu zao wana wa Haroni wakitumikia nyumbani mwa Bwana.
← Chapter 22
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 24 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29