bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 3
1 Chronicles 3
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 4 →
1
Wana wa Dawidi, aliozaliwa Heburoni, walikuwa hawa: Wa kwanza Amunoni wa Mwizireeli Ahinoamu; wa pili Danieli wa Mkarmeli Abigaili;
2
wa tatu Abisalomu, mwana wa Maka, binti Talmai, mfalme wa Gesuri; wa nne Adonia, mwana wa Hagiti;
3
wa tano Sefatia wa Abitali; wa sita Itiramu wa mkewe Egla.
4
Hawa sita ndio aliozaliwa Heburoni, alimokuwa mfalme miaka saba na miezi sita; lakini Yerusalemu alikuwa mfalme miaka thelatini na mitatu.
5
Namo Yerusalemu alizaliwa hawa: Simea na Sobabu na Natani na Salomo; hawa wanne ni wa Bati-Sua, binti Amieli.
6
Tena Ibuhari na Elisama na Elifeleti
7
na Noga na Nefegi na Yafia
8
na Elisama na Eliada na Elifeleti, ni tisa.
9
Hawa ni wana wote wa wakeze Dawidi pasipo wana wa masuria; naye Tamari alikuwa umbu lao.
10
Naye mwana wa Salomo ni Rehabeamu, mwanawe ni Abia, mwanawe ni Asa, mwanawe ni Yosafati,
11
mwanawe ni Yoramu, mwanawe ni Ahazia, mwanawe ni Yoasi,
12
mwanawe ni Amasia, mwanawe ni Azaria, mwanawe ni Yotamu,
13
mwanawe ni Ahazi, mwanawe ni Hizikia, mwanawe ni Manase,
14
mwanawe ni Amoni, mwanawe ni Yosia.
15
Nao wana wa Yosia: wa kwanza ni Yohana, wa pili Yoyakimu, wa tatu Sedekia, wa nne Salumu.
16
Nao wana wa Yoyakimu ni mwanawe Yekonia, mwanawe ni Sedekia.
17
Nao wana wa Yekonia aliyetekwa ni mwanawe Saltieli,
18
na Malkiramu na Pedaya na Senasari na Yekamia na Hosama na Nedabia.
19
Nao wana wa Pedaya: Zerubabeli na Simei. Nao wana wa Zerubabeli: Mesulamu na Hanania na umbu lao Selomiti;
20
tena Hasuba na Oheli na Berekia na Hasadia na Yusabu-Hesedi, watu watano.
21
Nao wana wa Hanania: Pelatia na Yesaya. Tena wana wa Refaya, wana wa Arnani, wana wa Obadia na wana wa Sekania.
22
Nao wana wa Sekania: Semaya; nao wana wa Semaya: Hatusi na Igali na Baria na Naria na Safati, watu sita.
23
Nao wana wa Naria: Eliyoenai na Hizikia na Azirikamu, watu watatu.
24
Nao wana wa Eliyoenai: Hodawia na Eliasibu na Pelaya na Akubu na Yohana na Delaya na Anani, watu saba.
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 4 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29