bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 25
1 Chronicles 25
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 24
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 26 →
1
Kisha Dawidi na wakuu wa vikosi wakawatenga kwao wana wa Asafu na kwao wa Hemani na kwao wa Yedutuni wao waliolifumbua Neno kwa kupiga mazeze na mapango na matoazi, waje kutumika hivyo. Hesabu yao walioitumikia kazi hiyo ni hii:
2
kwa wana wa Asafu walikuwa Zakuri na Yosefu na Netania na Asarela; hawa wana wa Asafu waliongozwa na Asafu aliyelifumbua Neno kwa kuongozwa na mfalme.
3
Kwa Yedutuni walikuwa wana wa Yedutuni: Gedalia na Seri na Yesaya, Hasabia na Matitia (na Simei), watu sita; hawa waliongozwa kupiga mazeze na baba yao Yedutuni aliyelifumbua Neno kwa kumshukuru na kumtukuza Bwana.
4
Kwa Hemani walikuwa wana wa Hemani: Bukia, Matania, Uzieli, Sebueli na Yerimoti, tena Hanania, Hanani, Eliata, Gidalti na Romamuti-Ezeri, tena Yosibekasa, Maloti, Hotiri, Mahazioti.
5
Hawa wote walikuwa wana wa Hemani aliyekuwa mchunguzaji wa mfalme; kwa hivyo, Mungu alivyomwambia, ya kuwa ataitukuza pembe yake, Mungu alikuwa amempa wana kumi na wanne wa kiume na watatu wa kike.
6
Hawa wote waliongozwa na baba zao kuimba nyumbani mwa Bwana na kupiga matoazi na mapango na mazeze, wakatumika hivyo nyumbani mwa Mungu kwa hivyo, mfalme alivyowaongoza akina Asafu na Yedutuni na Hemani.
7
Walipohesabiwa pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia Bwana, wote walioijua kazi hii walikuwa 288.
8
Wakazipigia zamu zao kura, mdogo sawasawa kama mkubwa, naye mfunzi sawasawa kama mwanafunzi.
9
Hapo kura ya kwanza ya Asafu ikamwangukia Yosefu; ya 2 ikamwangukia Gedalia na ndugu zake na wana wake, pamoja watu 12.
10
Ya 3 Zakuri na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
11
Ya 4 Isiri na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
12
Ya 5 Netania na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
13
Ya 6 Bukia na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
14
Ya 7 Yesarela na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
15
Ya 8 Yesaya na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
16
Ya 9 Matania na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
17
Ya 10 Simei na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
18
Ya 11 Azareli na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
19
Ya 12 Hasabia na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
20
Ya 13 Subaeli na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
21
Ya 14 Matitia na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
22
Ya 15 Yeremoti na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
23
Ya 16 Hanania na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
24
Ya 17 Yosibekasa na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
25
Ya 18 Hanani na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
26
Ya 19 Maloti na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
27
Ya 20 Eliata na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
28
Ya 21 Hotiri na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
29
Ya 22 Gidalti na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
30
Ya 23 Mahazioti na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
31
Ya 24 Romamuti-Ezeri na wana wake na ndugu zake, pamoja watu 12.
← Chapter 24
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 26 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29