bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 24
1 Chronicles 24
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 23
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 25 →
1
Mafungu yao wana wa Haroni ni haya: wana wa Haroni walikuwa Nadabu na Abihu, Elazari na Itamari.
2
Nadabu na Abihu wakafa, baba yao akingalo yupo, nao hawakuwa na wana; kwa hiyo Elazari na Itamari wakaupata utambikaji.
3
Dawidi akapatana na Sadoki aliyekuwa wa wana wa Elazari na Ahimeleki aliyekuwa wa wana wa Itamari, akawagawanya, kama walivyokuwa na ukuu katika utumishi wao.
4
Hapo ikatokea, ya kuwa wana wa Elazari walikuwa wenye wakuu wengi zaidi kuliko wana wa Itamari; kwa hiyo walipowagawanya, wakatokea kwa wana wa Elazari wakuu wa milango kumi na sita, lakini kwa wana wa Itamari wakuu wa milango wanane tu.
5
Lakini wao kwa wao wakawagawanya kwa kuwapigia kura, kwani walikuwako watambikaji wakuu wa Patakatifu na watambikaji wakuu wa Mungu kwao wana wa Elazari nako kwao wana wa Itamari.
6
Naye Semaya, mwana wa Netaneli, aliyekuwa mwandishi wao Walawi akawaandika, mfalme na wakuu wake na mtambikaji Sadoki na Ahimeleki, mwana wa Abiatari, na wakuu wa milango ya watambikaji na Walawi wakitazama, ikawa hivi: mlango mmoja wa Elazari ukichukuliwa kwa kura, ukachukuliwa nao wa pili, kisha ukachukuliwa nao mmoja wa Itamari.
7
Kura ya kwanza ikamwangukia Yoyaribu, ya 2 Yedaya,
8
ya 3 Harimu, ya 4 Seorimu,
9
ya 5 Malkia, ya 6 Miyamini,
10
ya 7 Hakosi, ya 8 Abia,
11
ya 9 Yesua, ya 10 Sekania,
12
ya 11 Eliasibu, ya 12 Yakimu,
13
ya 13 Hupa, ya 14 Yesebabu,
14
ya 15 Bilga, ya 16 Imeri,
15
ya 17 Heziri, ya 18 Hapisesi,
16
ya 19 Petaya, ya 20 Ezekieli,
17
ya 21 Yakini, ya 22 Gamuli,
18
ya 23 Delaya, ya 24 Mazia.
19
Huu ulikuwa ukuu wao katika utumishi wao wa kuingia nyumbani mwa Bwana kwa matengenezo yao, aliyoyatoa baba yao Haroni, kama Bwana Mungu wa Isiraeli alivyomwagiza.
20
Wale wana wengine wa Lawi ni hawa: Kwa wana wa Amuramu: Subaeli, kwa wana wa Subaeli: Yehedia.
21
Kwake Rehabia: wana wa Rehabia mkuu wao alikuwa Isia.
22
Kwao wa Isihari: Selomoti, kwa wana wa Selomoti: Yahati.
23
Nao wana wa Heburoni walikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, wa nne Yekamamu.
24
Wana wa Uzieli ni Mika, kwa wana wa Mika: Samiri.
25
Ndugu ya Mika alikuwa Isia, kwa wana wa Isia alikuwa Zakaria.
26
Wana wa Merari walikuwa: Mahali na Musi na wana wa Mwanawe Yazia.
27
Wana wa Merari waliokuwa wa mwanawe Yazia ndio Sohamu na Zakuri na Iburi.
28
Wa Mahali alikuwa Elazari asiyekuwa na wana.
29
Wa Kisi ndio wana wa Kisi: Yerameli.
30
Wana wa Musi walikuwa Mahali na Ederi na Yerimoti. Hawa ndio wana wa Lawi kwa milango yao.
31
Wao nao waliwapigia kura sawasawa kama ndugu zao wana wa Haroni, mfalme Dawidi na Sadoki na Ahimeleki na wakuu wa milango ya watambikaji na Walawi wakitazama; aliyekuwa mkuu wa mlango alipigiwa kura sawasawa kama ndugu yake mdogo.
← Chapter 23
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 25 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29