bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Chronicles 20
1 Chronicles 20
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 19
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 21 →
1
Ikawa, mwaka ulipopita, siku hizo, wafalme wanapozoea kwenda vitani, Yoabu akavipeleka vikosi vya askari, akaiangamiza nchi ya wana wa Amoni, akaja, akausonga mji wa Raba kwa kuuzinga, lakini Dawidi alikuwa anakaa Yerusalemu. Yoabu akaupiga Raba, akaubomoa.
2
Ndipo, Dawidi alipoliondoa taji la mfalme wao kichwani pake, akaliona uzito wake kuwa frasila tatu za dhahabu, nalo lilikuwa limepambwa kwa vito vyenye kima; hilo Dawidi akavikwa kichwani. Namo mjini akatoa mateka mengi sana.
3
Nao watu waliokuwamo akawatoa, akawakatakata kwa misumeno na kwa magari ya chuma ya kupuria na kwa mashoka. Hivyo Dawidi akaifanyizia miji yote ya wana wa Amoni. Kisha Dawidi akarudi Yerusalemu pamoja na watu wote.
4
Ikawa, hayo yalipokwisha, yakatokea mapigano na wafilisti kule Gezeri; huko ndiko, Sibekai wa Husa alikompiga Sipai aliyekuwa mmoja wao yale Majitu marefu; ndivyo, walivyoshindwa.
5
Kisha yakawa tena mapigano na Wafilisti; ndipo, Elihanani, mwana wa Yairi, alipompiga Lahami, nduguye Goliati wa Gati aliyekuwa na mkuki wenye uti kama majiti ya wafuma nguo.
6
Kisha yakawa mapigano tena kule Gati; huko kulikuwa na mtu mrefu sana mwenye vidole sita sita mikononi na miguuni, vyote pamoja ni 24, naye alikuwa mmoja wao yale Majitu marefu.
7
Alipowatukana Waisiraeli, Yonatani, mwana wa Simea, kaka yake Dawidi, akampiga.
8
Hao walikuwa wamezaliwa katika mlango wa Majitu marefu huko Gati, wakauawa kwa mikono ya Dawidi na kwa mikono ya watumishi wake.
← Chapter 19
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 21 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29