bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Psalms 105
Psalms 105
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 104
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 106 →
1
Mshukuruni Bwana, nalo Jina lake litambikieni! Yajulisheni makabila ya watu matendo yake!
2
Mpigieni shangwe za kumwimbia! Mataajabu yake yote yatungieni tenzi!
3
Lishangilieni Jina lake lililo takatifu! Mioyo yao wamtafutao Bwana na ifurahi!
4
Mchungulieni Bwana nazo nguvu zake! Utafuteni uso wake siku zote!
5
Yakumbukeni mataajabu yake, aliyoyafanya, nayo maamuzi yake yashangazayo yakisemwa na kinywa chake!
6
Ninyi mlio wa uzao wake Aburahamu aliyemtumikia, nanyi wana wa Yakobo, yeye aliyemchagua!
7
Yeye Bwana ni Mungu wetu, nchi zote anaziamua.
8
Kale na kale analikumbuka Agano lake. aliowaagiza kulishika Neno lake, ni vizazi elfu.
9
Agano ni lile, alilomwekea Aburahamu, nacho kiapo ni kile, alichomwapia Isaka.
10
Mbele yake Yakobo naye akalisimamisha kuwa maongozi, Agano lakale na kale liwe kwake Isiraeli
11
kwamba: Wewe ndiwe, nitakayekupa nchi ya Kanaani, iwe fungu lenu, nililowapimia.
12
Vilikuwa hapo, walipokuwa kikundi cha watu wanaohesabika, maana kule walikuwa wachache tu, tena wageni.
13
Wakawaendea watu wa huko, taifa kwa taifa, walipotoka kwa mfalme mmoja, wakawajia wenziwe.
14
Lakini hakuna mtu, aliyempa ruhusa kuwakorofisha, hata wafalme akawapatiliza kwa ajili yao kwamba:
15
Niliowapaka mafuta msiwaguse tu, wala wafumbuaji wangu msiwafanyizie mabaya!
16
Akaita njaa, ije kuziingia nchi za watu, akaivunja miti yote izaayo vilaji.
17
Hapo alikuwa amekwisha kujipatia mtu, awafungulie njia, ni Yosefu aliyekuwa ameuzwa kuwa mtumwa.
18
Huyo miguu yake waliiumiza kwa kuitia katika mapingu, kisha wakamfunga mwenyewe kwa minyororo
19
mpaka siku ile, lilipotimia lile neno lake; naye alikuwa ameng'azwa kwa kuyeyushwa na maneno yake Bwana.
20
Ndipo, mfalme alipotuma, akamfungua; mtawala makabila ya watu akamtoa kifungoni.
21
Akamsimamisha kuwa bwana nyumbani mwake na mtunzaji wa mali, alizokuwa nazo zote,
22
awafunge wakuu wake, kama apendavyo; kisha awafundishe wazee wake, waerevuke.
23
Ndipo, Waisiraeli walipokuja huko Misri, Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu.
24
Bwana akawapa wao walio ukoo wake kuzaa sana, akawatia nguvu kuliko wao waliowasonga.
25
Kisha akaigeuza mioyo yao wale, wawachukize walio ukoo wake, wakawaendea watumishi wake kwa udanganyifu.
26
Ndipo, alipomtuma mtumishi wake, yule Mose, naye Haroni, aliyemchagua.
27
Hao wakafanya kwao vielekezo, alivyokuwa aliwaambia, wakavifanya vioja vyake katika nchi ya Hamu.
28
Akatuma giza, likaiguia nchi yao, nao hawakukataa kuyatii maneno yake.
29
Akayageuza maji yao kuwa damu. akawaua nyama wote wa humo mtoni.
30
Nchi yao ikafurikiwa navyo vyura, wakaingia namo nyumbani mwa mfalme wao.
31
Mbung'o wakaja papo hapo, aliposema, katika mipaka yao yote wakaingia nao mbu.
32
Penya mvua zao aliwanyeshea mvua ya mawe pamoja na mioto iliyoichoma nchi yao.
33
Akaipiga mizabibu yao, hata mikuyu yao, akaiponda miti iliyokuwako katika mipaka yao.
34
Nzige wakaja papo hapo, aliposema, pamoja na funutu wasiohesabika.
35
Wakala majani yote katika nchi yao. wakala navyo vilaji vyote mashambani kwao.
36
Akampiga kila mzaliwa wa kwanza katika nchi yao, ndio wote waliokuwa malimbuko yenye nguvu kwao.
37
Alipokwisha kuwapatia fedha na dhahabu, ndipo, alipowatoa, tena katika koo zao hakuwamo aliye mwenye kilema.
38
Wamisri wakafurahi, walipotoka, kwani waliguiwa na kituko kilichowaogopesha.
39
Akatanda wingu, liwafunike, kisha liwe lenye moto, uwamulikie usiku.
40
Walipomwomba, akaleta tombo, hata mikate alitoa mbinguni, akawashibisha.
41
Akafungua mwamba, maji yakabubujika, yakajiendea nyikani kama mto.
42
Kwani alilikumbuka Neno lake lililo takatifu, alilomwambia mtumishi wake Aburahamu.
43
Ndivyo, alivyowatoa walio ukoo wake, wakafurahi, kwa kuwa wateule wake wakampigia vigelegele.
44
Nchi zao wamizimu ndizo, alizowapa, navyo, makabila mengine yalivyovisumbukia, wakavitwaa tu.
45
Alitaka hili tu: Wayaangalie maongozi yake, nayo Maonyo yake wayashike. Haleluya!
← Chapter 104
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 106 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150