bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Psalms 106
Psalms 106
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 105
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 107 →
1
Haleluya! Mshukuruni Bwana, ya kuwa ni mwema! Ya kuwa upole wake ni wa kale na kale!
2
Yuko nani atakayemaliza kuyasimulia matendo ya nguvu ya Bwana? Yuko nani tena atakayeyatanganza matukuzo yake yote?
3
Wenye shangwe ndio wayashikao yanyokayo nao wafanyao siku zote yaliyo yenye wongofu.
4
Bwana, nikumbuke kwa kupendezwa nao walio ukoo wako! Unijie kunikagua, upate kuniokoa,
5
nami nipate kuyatazama mema yao wateule wako, tena niifurahie furaha yao walio kabila lako, tushangilie pamoja nao walio fungu lako!
6
Pamoja na baba zetu tulikosa nasi, tulipoacha kumcha Mungu tulikora manza.
7
Baba zetu walipokuwako kule Misri, walipoyaona mataajabu yako hawakuerevuka, hawakuyakumbuka yale mema mengi, uliyawagawia, wakakataa kukutii kule baharini, kwenye Bahari Nyekundu.
8
Lakini kwa ajili ya Jina lake aliwaokoa, awajulishe uweze wake wenye nguvu.
9
Akaikaripia Bahari Nyekundu; ndipo, ilipokupwa, akawapitisha kule vilindini, kama ni nyikani.
10
Akawaokoa mikononi mwao waliowachukia, akawakomboa mikononi mwao waliokuwa adui zao.
11
Maji yakawafunika wao waliowasonga, kwao hakusalia hata mmoja.
12
Ndipo, walipoyategemea maneno yake, wakamwimbia mashangilio ya kumsifu.
13
Lakini upesi sana wakayasahau matendo yake, aliyoyataka kuwaeleza hawakuyangojea.
14
Walipoingiwa na tamaa kule nyikani wakazifuata, wakamjaribu Mungu huko jangwani.
15
Akawapa waliyomwomba, akayafurikisha, mpaka yakizichafua roho zao.
16
Kisha wakamwonea Mose wivu hapo, walipopanga, hata Haroni aliyekuwa mtakatifu wake Bwana.
17
Nchi ikaasama, ikammeza Datani, ikawafunika nao akina Abiramu.
18
Moto ukawaka kwenye mkutano wao, ndimi zake zikawateketeza wasiomcha Mungu.
19
Wakafanya ndama kule Horebu, wakakitambikia hicho kinyago.
20
Hivyo ndivyo, walivyougeuza utukufu wao kuwa kama wa ng'ombe mwenye kula majani.
21
Wakamsahau Mungu aliyewaokoa na kufanya mambo makuu kule Misri.
22
Nayo yaliwastaajabisha walioko katika nchi ya Hamu, nako kwenye Bahari Nyekundu yakawastusha.
23
Akawaza kuwamaliza, waishe kabisa, kama Mose, aliyemchagua, asingalijisimamisha mbele yake kwenye ule ufa ulioatuka, ayatulize machafuko yake, asiwaangamize.
24
Wakaibeza ile nchi iliyo nzuri zaidi. hawakulitegemea Neno lake.
25
Katika mahema yao wakanung'unika, hawakuisikiliza sauti yake yeye Bwana.
26
Akauinua mkono wake, awapige, awaue nyikani,
27
awatapanye walio wa uzao wao kwenye wamizimu na kuwamwaga katika nchi zilizokuwa za wengine.
28
Kisha wakaja kugandamana na Baali Peori, wakala nyama za tambiko la mizimu;
29
Ndivyo, walivyomkasirisha na matendo yao. Kisha kilipotukia kwao kipindupindu,
30
ndipo, Pinehasi alipotokea, akawaonya, nacho kipindupindu kikazuiliwa papo hapo.
31
Kwa hivyo aliwaziwa kuwa mwenye wongofu kwa vizazi na vizazi kale na kale.
32
Kisha wakamchafua moyo tena kwenye maji ya Meriba, Mose naye akapatwa na mabaya kwa ajili yao.
33
Kwani walipoibishia roho yake, midomo yake ilisema maneno yasiyompasa.
34
Kisha hawakuyamaliza makabila ya watu. Bwana aliyowaagiza kuwaua.
35
Ila walichanganyika nao wamizimu, nayo matendo yao wakayaiga.
36
Navyo vinyago vyao wakavitumikia, navyo ndivyo vilivyowanasa.
37
Wana wao wa kiume nao wa kike wakawatoa kuwa ng'ombe za tambiko za mizimu.
38
Nazo damu zisizokuwa zenye manza wakazimwaga, ni damu za wana wao wa kiume na wa kike, waliowatoa kuwa ng'ombe za tambiko za vinyago vya Kanaani; ndivyo, walivyoichafua nchi kwa kumwaga damu.
39
Hata wenyewe walijichafua kwa hayo matendo yao, kwa kuzifanya hizo kazi zao wakawa wagoni.
40
Ndivyo, walio ukoo wake walivyokoleza moto wa makali yake Bwana, wao waliokuwa fungu lake wakamtapisha,
41
akawatia mikononi mwao wamizimu, walio wachukivu wao wakawatawala.
42
Adui zao wakawatesa, wakashurutishwa kuiinamia mikono yao.
43
Mara nyingi aliwaopoa, lakini kwa mashauri yao wakamkataa, wakabanwa kwa ajili ya manza, walizozikora.
44
Kisha akawatazama, jinsi walivyosongeka; alipoyasikia malalamiko yao, yalipoingia masikioni mwake,
45
akalikumbuka Agano lake, alilolifanya nao, kwa upole wake mwingi akawahurumia,
46
akawapatia huruma kwao wote waliowafunga.
47
Tuokoe, Bwana, uliye Mungu wetu! Tukusanye na kututoa kwenye wamizimu, tupate kulishukuru Jina lako takatifu, tuzidishe kukusifu na kukushangilia!
48
Na utukuzwe, Bwana Mungu wa Isiraeli, tangu kale hata kale! Nayo makabila yote ya watu sharti yaitikie: Amin! Haleluya!
← Chapter 105
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 107 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150