bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Psalms 107
Psalms 107
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 106
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 108 →
1
Mshukuruni Bwana, ya kuwa ni mwema! Ya kuwa upoke wake ni wa kale na kale!
2
Ndivyo, watakavyosema waliokombolewa na Bwana, aliowakomboa katika masongano.
3
Ndio, aliowakusanya na kuwatoa katika nchi za ugeni, kule maawioni kwa jua nako macheoni kwake, nako kaskazini nako kwenye bahari.
4
Walikuwa wamepotea nyikani katika njia za jangwani, mji uliokuwa wenye watu hawakuuona.
5
Njaa ikawauma pamoja na kiu, roho zao zikataka kuzimia tu.
6
Ndipo, walipomlilia Bwana kwa kusongeka hivyo, naye akawaopoa katika masumbuko yao.
7
Akawaongoza katika njia iliyonyoka, wapate kufika mjini mwenye watu.
8
Hao na wamshukuru Bwana, ya kuwa ni mpole! Huwafanyizia wana wa watu vioja vyake,
9
hushibisha roho yenye kiu, nayo roho yenye njaa huipatia mema mengi.
10
Wako wengine, walikaa gizani mwenye kufa, wakawa wamefungwa na kubanwa na vyuma.
11
Kwani walikataa kuyatii maneno yake Mungu, wakalibeza shauri lake yule Alioko huko juu.
12
Kwa hiyo aliinyenyekeza mioyo yao kwa kuwatesa, nao walipojikwaa, hakuwako aliyewasaidia.
13
Ndipo, walipomlilia Bwana kwa kusongeka hivyo, naye akawaokoa katika masumbuko yao.
14
Akawatoa gizani mwenye kufa, yale mafungo yao nayo akayavunja.
15
Hao na wamshukuru Bwana, ya kuwa ni mpole! Huwafanyizia wana wa watu vioja vyake.
16
Kwani milango ya shaba anaivunja, nayo makomeo ya chuma anayakata.
17
Wako wengine waliopumbazwa na kuumizwa kwa ajili ya njia zao zenye mapotovu na kwa ajili ya kukora manza.
18
Vilaji vyote vikazichafua roho zao, mwisho wakajifikisha huko, malango ya kifo yaliko.
19
Ndipo, walipomlilia Bwana kwa kusongeka hivyo, naye akawaokoa katika masumbuko yao.
20
Akalituma Neno lake, likawaponya, akawaopoa shimoni mwao.
21
Hao na wamshukuru Bwana, ya kuwa ni mpole! Huwafanyizia wana wa watu vioja vyake.
22
Na wamtolee vipaji vya tambiko vya kumshukuru wakiyasimulia matendo yake na kushangilia.
23
Wako wengine waliosafiri baharini katika merikebu wakifuata uchuuzi kule kwenye maji mengi.
24
Nao waliyaona matendo ya Bwana na vioja vyake kwenye vilindi.
25
Kwa kusema tu alileta upepo wa kimbunga uliokweza mawimbi,
26
yakawapandisha juu kwenda mbinguni, tena wakatelemka chini vilindini, roho zao zikayeyuka kwa hayo mabaya.
27
Wakayumbayumba na kupepesuka kama mlevi, mizungu yao yote ikawa ya bure.
28
Ndipo, walipomlilia Bwana kwa kusongeka hivyo, naye akawatoa katika masumbuko yao.
29
Akakituliza kimbunga, kukawa kimya, mawimbi nayo yakanyamaza.
30
Kwa kuwa yamepata kutulia, wakafurahi, kisha akawaingiza bandarini, walikotaka kwenda.
31
Hao na wamshukuru Bwana, ya kuwa ni mpole! Huwafanyizia wana wa watu vioja vyake.
32
Na wamtukuze kwenye mikutano ya watu walio wa ukoo wetu! Nako kwenye mashauri ya wazee na wamshangilie!
33
Aligeuza mito mikubwa kuwa nyika, nazo mboji za maji kuwa nchi kavu.
34
Nchi yenye wiva akaigeuza kuwa jangwa la chumvi kwa ajili ya ubaya wao waliokaa kule.
35
Tena nyika aliigeuza kuwa bwawa lenye maji mengi, nayo nchi kavu akaitokeza mboji za maji,
36
akawapa wenye njaa ya kukaa hapohapo, wapajengee mji wa kukaa.
37
Wakalima mashamba, wakapanda mizabibu, wakajipatiamo matunda, ndio malipo ya kazi zao.
38
Kwa hivyo, alivyowabariki, wakawa wengi sana, nao nyama wa kufuga, aliowapa, hawakuwa wachache.
39
Kisha wakapunguka tena, wakainamishwa chini kwa kulemewa na mabaya yaliyowasikitisha.
40
Wakuu wao akawamwagia masimango, akawatangishatangisha maporini kusiko na njia zo zote.
41
Lakini mkiwa alimkingia yale mateso, asifikiwe nayo, akaviweka vizazi vyake kuwa vingi kama kondoo.
42
Wanyokao mioyo walipoviona wakavifurahia kwamba: Wapotovu wote hufumbwa vinywa!
43
Yuko nani aliye mwenye ujuzi? Na ayashike haya! Na autambue upole wake Bwana!
← Chapter 106
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 108 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150